mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Swali NI kuwa walikamatwa na hivyo vitu katika eneo hilo?Hivyo si anaweza sema yeyote tu mkuu?
Thamani ya ushahidi si inakuja kwenye kumsimika mjomba?
Anaaminika kiasi gani shahidi huyu kwenye shitaka nyeti hili?
Muuza mbege wakati wote yupo mafuta aliwezaje kuwa na kumbukumbu ya matukio yote wakati yupo mafuta?Nilichoelewa Mimi watuhumiwa hao walikamatwa hapo wakiwa na bastola na hizo kete.
huyo ndo aliona.
Ishu ni kwamba.Kuona sio tatizo ila mazingira Mpaka anaona yanatia shaka sana, pamoja mlolongo wa tukio zima,hamna kitu pale
Kesho wakati wa kuhojiwa na upande wa utetezi ndiyo atatapishwa ndoano .Shahidi wa leo anaishi hatua kumi kutoka eneo la tukio, lakini wapo wanaouza duka la vipodozi waliokuwa karibu zaidi na eneo la tukio walipokamatwa watuhumiwa lakini polisi hawakuhangaika nao, walienda kumchukua huyu wa mbali ambaye ni mpangaji na kada mwenzao ili wamlishe upupu bila shida.
Hawawezi kuona mapungufu yao maana Mungu kapanga kuwaumbua mbele ya jamiiHapa hakuna kesi naona CCM na tawi lao wanajisahau sana kuedit baadhi ya "scenes" kabla hazijaenda hewani..
Ushauri wangu wajaribu hata kuona filamu za Jackie Chan alivyokua akifanya miaka ya 1980
Watuhumiwa kwani wamemkana kuwa hakuwepo?Muuza mbege wakati wote yupo mafuta aliwezaje kuwa na kumbukumbu ya matukio yote wakati yupo mafuta?
Ccm wanajisumbua kwa mambo ya kubumba tu kisa kumdhoofisha mpigania haki na kudai katiba.Watuhumiwa kwani wamemkana kuwa hakuwepo?
hii kesi inafundisha Sanaa.
Ila nikiri akina kibatala wanajitahidi Sanaa kupangua hoja.
Mwanzo nilikuwa naona mawakili wanakula hela bure.ila kwa Sasa nawaheshimu.
Kuugeuza ukweli kuwa UONGO,na UONGO kuwa ukweli sio kazi ndogo
Kwa hiyo wakaona mlevi wa mbege ndiye hawezi kubadilika?Shahidi anatakiwa kuwa 'willing to volunteer' kuwa shahidi kwa upande wa ulalamikaji au mlalamikiwa
Huwezi kuchukua shahidi yeyote ambaye huna uhakika anaweza kubadilika katikati ya kesi na kutoa maelezo yanayousaidia upande mwingine (hostile witness) ndio maana polisi walitathimini kwanza ni yupi afaaye kutoa ushahidi bila kuyumbishwa kwa hongo au vitisho.
Dawa ya shahidi muongo ni kina Kibatala na kesho huyo mama ataitapika ndoanoIshu ni kwamba.
Ni kwamba ni kweli watuhumiwa walikamatwa na hyo bastola na hizo kete katika eneo hilo.
hayo mengine yanaweza yakawa makosa ya upelelezi na mashahidi.
Ila lengo hapo NI hyo bastola na hizo kete.na hao watuhumiwa Kama ni wenyewe
Wacha kesho awaumbue maana kwa miswali ya Kibatala sioni huyo mlevi ataponea wapiKwa hiyo wakaona mlevi wa mbege ndiye hawezi kubadilika?
Suala la msingi hapa ni kwambaSwali NI kuwa walikamatwa na hivyo vitu katika eneo hilo?
Swali NI kuwa walikamatwa na hivyo vitu katika eneo hilo?
Kashindwa tambua watuhumiwa mahakamani.Nilichoelewa Mimi watuhumiwa hao walikamatwa hapo wakiwa na bastola na hizo kete.
huyo ndo aliona.
Kitabibu, wanaposema mtu ana uwezo wa kuona karibu, mita 10 siyo umbali unaosema ni karibu. Umbali wa karibu hauzidi mita 1. Ndiyo maana anayeshindwa kuona karibu, akitaka kusoma, hupeleka kitu anachotaka kukisoma, umbali wa 50 - 100cm, na siyo mita 5 au 10.Ndio maana kitabibu ni kweli baadhi ya watu wana uwezo wa kuona mbali au karibu kwa hiyo hakuna tatizo katika maelezo yake ya ushahidi.
Wakili ameshindwa kuhoji kama ana matatizo ya kuona na kwamba alishathibishwa hospitalini ili adai cheti cha kupimwa kwake. Mawakili wanaojifunza wanafikiri kila kinachofundishwa darasani ndicho kilichoko kwenye uhalisia ndio maana pakawepo na shule ya sheria (Law School) kumwandaa na uwanja wa hoja tunduizi
Mlevi amemaliza ushahidi wake. Kesho ni shahidi mwingine.Wacha kesho awaumbue maana kwa miswali ya Kibatala sioni huyo mlevi ataponea wapi
Kwani amehojiwa na mawakili wa upande wa utetezi?Mlevi amemaliza ushahidi wake. Kesho ni shahidi mwingine.
Hayo ni mawazo yako binafsi hayana uthibitisho wa kidaktari kwahiyo ni mfilisiKitabibu, wanaposema mtu ana uwezo wa kuona karibu, mita 10 siyo umbali unaosema ni karibu. Umbali wa karibu hauzidi mita 1. Ndiyo maana anayeshindwa kuona karibu, akitaka kusoma, hupeleka kitu anachotaka kukisoma, umbali wa 50 - 100cm, na siyo mita 5 au 10.
Lengo la ushahidi wake ni kuonesha kwamba ukamataji wa watuhumiwa ulifuata taratibu, na pia maelezo ya polisi ni ya kweli.
Huyu ni semi kada ndio wakamuona anawafaa, asingebadilika kuwa hostile coz hamuogopi Mungu kama walivyo wengine huko kwao.Kwa hiyo wakaona mlevi wa mbege ndiye hawezi kubadilika?