- Thread starter
- #41
Huyo muuza mbege anakumbuka mpaka serial number ya bastola 🤣 ,wazee wa kubambika ni next level haijawahi kutokea duniani
Maajabu ya Mussa 😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo muuza mbege anakumbuka mpaka serial number ya bastola 🤣 ,wazee wa kubambika ni next level haijawahi kutokea duniani
Kusudi gani litimie wakati wanachokizungumza hakifanani na uhalisia, maelezo mengi ya shahidi mahakamani yanapingana na yale aliyotoa eneo la tukio, hebu weka mahaba yako pembeni tumia akili.Suala la msingi hapa ni kwamba
1. Waliopo mahakamani hapo ndio walioonekana sehemu ya ukamataji? Kama jibu ni ndio basi kusudi limetimia
2. Tarehe na muda unaodaiwa ukamataji kufanyika hao watu wanaoshitakiwa walikuwepo eneo hilo? Kama jibu ni ndio kusudi limetimia
3. Ni kweli kwamba waliokamatwa na kushitakiwa mahakamani walikuwa wakinywa pombe, kusajili simu na kuwasiliana kwa njia ya simu katika tarehe na muda tajwa? Kama jibu ni ndio, kusudi limetima
4. Ni kweli kwamba baada ya kukamatwa washitakiwa na kupekuliwa katika eneo walilokutwa walikutwa wakiwa na silaha na kete za dawa za kulevya? Kama jibu ni ndio basi kusudi limetimia
5. Ni kweli kwamba baada ya kukamatwa washitakiwa na kupekuliwa kuna nyaraka ziliandikishwa kisha mashihidi kadhaa wakashuhudia kilichofanyika kisha wakasaini kuthibitisho kilichoandikwa ni sahihi? Kama jibu ni ndio basi kusudi limetimia
Kwenye ushahidi unaendelea kila shahidi anaacha maswali mengi yenye utata ambayo hayaibiki
Ha ha ha daah njaa mbaya kweli.Hivi ukiona useme ukweli utakufa njaa.Kachukue 7000/-Lengo la ushahidi wake ni kuonesha kwamba ukamataji wa watuhumiwa ulifuata taratibu, na pia maelezo ya polisi ni ya kweli.
Kwani amehojiwa na mawakili wa upande wa utetezi?
OKAY ... Tufanye hivi mmedhinda kesi na MBOWE amefungwa maisha .Good for you then.Ndio maana kitabibu ni kweli baadhi ya watu wana uwezo wa kuona mbali au karibu kwa hiyo hakuna tatizo katika maelezo yake ya ushahidi.
Wakili ameshindwa kuhoji kama ana matatizo ya kuona na kwamba alishathibishwa hospitalini ili adai cheti cha kupimwa kwake. Mawakili wanaojifunza wanafikiri kila kinachofundishwa darasani ndicho kilichoko kwenye uhalisia ndio maana pakawepo na shule ya sheria (Law School) kumwandaa na uwanja wa hoja tunduizi
Daaa sikufuatilia maana nilijua leo ni upande wa serikaliBila kuwa grilled na upande wa utetezi tusingeyajua yote haya mkuu [emoji16][emoji16]
Hapo wana ccm ndiyo wanaamini kuwa mh Mbowe akifungwa ndiyo cdm imekufa.OKAY ... Tufanye hivi mmedhinda kesi na MBOWE amefungwa maisha .Good for you then.
Daaa sikufuatilia maana nilijua leo ni upande wa serikali
Acha uzwazwa subiri tafsiri ya kimahakama sio upeo wako finyu huoKusudi gani litimie wakati wanachokizungumza hakifanani na uhalisia, maelezo mengi ya shahidi mahakamani yanapingana na yale aliyotoa eneo la tukio, hebu weka mahaba yako pembeni tumia akili.
Shahidi kasema macho yake kuona mwisho mita 10, wakili mahakamani kapiga hatua 7 akamuuliza rangi ya tshirt akasema ni nyeusi, wakati haikuwa nyeusi, alivyoona hali inaanza kuwa mbaya akasema macho yake kigeugeu; sometimes yes, sometimes no, wewe unasema "lengo limetimia" lengo gani?!
Mungu ni mkubwaHuyo ndiyo imetoka. Kesho #5 inshallah.
Na watu tulisha sahau kitamboYana Mwisho yote hayo ,alikuwepo JIWE na amepita.
Yani nilisikia story za madawa ya kulevya kwenye hii kesi, napata ukakasi.Nilichoelewa Mimi watuhumiwa hao walikamatwa hapo wakiwa na bastola na hizo kete.
huyo ndo aliona.
Hapo wana ccm ndiyo wanaamini kuwa mh Mbowe akifungwa ndiyo cdm imekufa.
Kumbe unavyotutafsiria huku wewe ni nani? ndezi?Acha uzwazwa subiri tafsiri ya kimahakama sio upeo wako finyu huo
Wasubirie hukumu ya kutoka kwa Mungu tu hao.Kesi ya CCM versus Mbowe.
Hiiiiii bagosha!
Wala chembe ya hofu ya mola hamna.
Walaaniwe waasisi wa kesi hii kokote waliko iwe Glasgow au Chatto.
Yani nilisikia story za madawa ya kulevya kwenye hii kesi, napata ukakasi.