Kesi ya Mbowe: Thamani ya ushahidi wa shahidi #4 ni ipi?

Huyo muuza mbege anakumbuka mpaka serial number ya bastola 🀣 ,wazee wa kubambika ni next level haijawahi kutokea duniani

Maajabu ya Mussa 😁😁
 
Kwenye ushahidi unaendelea kila shahidi anaacha maswali mengi yenye utata ambayo hayaibiki
 
Kusudi gani litimie wakati wanachokizungumza hakifanani na uhalisia, maelezo mengi ya shahidi mahakamani yanapingana na yale aliyotoa eneo la tukio, hebu weka mahaba yako pembeni tumia akili.

Shahidi kasema macho yake kuona mwisho mita 10, wakili mahakamani kapiga hatua 7 akamuuliza rangi ya tshirt akasema ni nyeusi, wakati haikuwa nyeusi, alivyoona hali inaanza kuwa mbaya akasema macho yake kigeugeu; sometimes yes, sometimes no, wewe unasema "lengo limetimia" lengo gani?!
 
Lengo la ushahidi wake ni kuonesha kwamba ukamataji wa watuhumiwa ulifuata taratibu, na pia maelezo ya polisi ni ya kweli.
Ha ha ha daah njaa mbaya kweli.Hivi ukiona useme ukweli utakufa njaa.Kachukue 7000/-
 
OKAY ... Tufanye hivi mmedhinda kesi na MBOWE amefungwa maisha .Good for you then.
 
Acha uzwazwa subiri tafsiri ya kimahakama sio upeo wako finyu huo
 
Hapo wana ccm ndiyo wanaamini kuwa mh Mbowe akifungwa ndiyo cdm imekufa.

Kesi ya CCM versus Mbowe.

Hiiiiii bagosha!

Wala chembe ya hofu ya mola hamna.

Walaaniwe waasisi wa kesi hii kokote waliko iwe Glasgow au Chatto.
 
Kesi ya CCM versus Mbowe.

Hiiiiii bagosha!

Wala chembe ya hofu ya mola hamna.

Walaaniwe waasisi wa kesi hii kokote waliko iwe Glasgow au Chatto.
Wasubirie hukumu ya kutoka kwa Mungu tu hao.
 
Yani nilisikia story za madawa ya kulevya kwenye hii kesi, napata ukakasi.

Kwenye madawa ndipo walipo liko Riga zaidi.

Madawa walikuwa wanauza au wanatumia?

Una bunduki na madawa ya nini tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…