Power Kaaya Mwingine huyu.... Krb ndugu na pole na maswahibu maana si kwa aibu hii!At the very least, kama ushahidi huo ni wa kweli, unampa picha mbaya tena mbaya sana Mbowe. Kwanini atende hayo yaliyodaiwa? Kwa nia gani nzuri?
Zaidi huyu Mama.Nina sababu 100,000,999,000,000,000,000,000,0000,000,000 za kuichukia CCM
Nijibu vipi PGO iliwasaidia chochote?Poa mwanasheria wa lumumba, naona hata PGO unaikataa na umuhimu wake, nazi kweli.
Tumuombee Mungu amtie nguvu, kwani ni wazi hukumu yake imeshaandikwa. Their hands are tied, and independence compromised for their bellies sake.
Yaani Kingai na Mahita kusema ukweli wanaonekana ndio wakuundugu Sana ktk jeshi hili
Wewe jamaa,SI ulikuwa dalali wa chanjo ya COVID-19,umeishia wapi?Atende "hayo yaliyodaiwa" yapi ndugu mjumbe?
Nyie mlisaidiwa na jaji kwa kufuata maoni yake badala ya sheria (PGO), mahakama za Tz siku hizi ni uwanja wa kutoa maoni na kutuma salamu kwa watu watatu.Nijibu vipi PGO iliwasaidia chochote?
Poa mwanasheria wa lumumba, naona hata PGO unaikataa na umuhimu wake, nazi kweli.
Yepi sasaAt the very least, kama ushahidi huo ni wa kweli, unampa picha mbaya tena mbaya sana Mbowe. Kwanini atende hayo yaliyodaiwa? Kwa nia gani nzuri?
HayaNyie mlisaidiwa na jaji kwa kufuata maoni yake badala ya sheria (PGO), mahakama za Tz siku hizi ni uwanja wa kutoa maoni na kutuma salamu kwa watu watatu.
Huwezi nielewa. Labda nikuulize maelezo ya Kaaya yaliyotolewa Polisi yana umuhimu gani kwenye kesi dhidi ya maelezo anayotoa mbele ya Jaji? Hayo Maelezo aliyoyatoa Polisi yanahusiana na kukiri au?? Hayo Maelezo hayana uzito wowote!!Mkuu unaongelea haya kwa authority ipi ya kisheria au sheria ya wapi ku-justify your points
🤣 🤣 🤣 Wewe jamaa akili yako inafikirisha sana,siyo kila kitu huwa kinahitaji siasa,vingine vinahitaji common-sense ya kawaida,Kama vielelezo havina maana kwann vipokelewe mahakamani? Kwann sheria inatambua umuhimu wa sworn statements kwenye criminal proceedings kama hazina maana? sasa msingi wa cross examinations wewe unadhan ni nn au unahisi judge huwa anacheza makidamakida?Huwezi nielewa. Labda nikuulize maelezo ya Kaaya yaliyotolewa Polisi yana umuhimu gani kwenye kesi dhidi ya maelezo anayotoa mbele ya Jaji? Hayo Maelezo aliyoyatoa Polisi yanahusiana na kukiri au?? Hayo Maelezo hayana uzito wowote!!
Uwezo wako ni mdogo sana. Ucku mwema.🤣 🤣 🤣 Wewe jamaa akili yako inafikirisha sana,siyo kila kitu huwa kinahitaji siasa,vingine vinahitaji common-sense ya kawaida,Kama vielelezo havina maana kwann vipokelewe mahakamani? Kwann sheria inatambua umuhimu wa sworn statements kwenye criminal proceedings kama hazina maana? sasa msingi wa cross examinations wewe unadhan ni nn au unahisi judge huwa anacheza makidamakida?
Kwa hiyo wewe ndo una uwezo mkubwa kwa hizi rubbish ulizoandika? it's better ukaendelea kuwahi kulala kama ulivyoomba.Uwezo wako ni mdogo sana. Ucku mwema.
Kwa ushahidi wake ni kuwa charge against Mbowe ni za kubumba, he did not witness Mbowe engaged in such stupid transactions!Shahidi #2 wa upande wa mashtaka Justine Kaaya katika ushahidi wake kaeleza ya kwake:
1. Alivyokutana na Mh. Mbowe
2. Alivyompa Mbowe taarifa za washirika wa Sabaya.
3. Alivyosafiri Longido, Arusha, Moshi.
4. Malipo aliyopata kutoka kwa Mh. Mbowe.
Shahidi anathibitisha kuwa, hakuwahi kusikia jinai yoyote ikijadiliwa kwenye mahusiano yake na Mh. Mbowe. Kwamba hakuwahi kuhusishwa katika mpango wala mkutano wowote wa kumdhuru mtu yeyote.
Shahidi anathibitisha kuwa hakuwahi kudhulumiwa au kujisikia kutokutendewa haki popote na Mheshimiwa Mbowe. Kwamba wala hakuwahi kusikia wala kuona Mh. Mbowe akipanga au kumtendea yeyote ndivyo sivyo.
Shahidi anathibitisha kuwa hakuwa na shaka yoyote na Mheshimiwa Mbowe au washirika aliokuwa nao. Ndiyo maana hakuwahi kutoa ripoti au taarifa popote ikiwamo polisi.
Hakuwahi kutoa onyo lolote la tahadhari au vyovyote kwa Sabaya, Jesca au washirika wa Sabaya kwa kuwa hakukuwa na sababu hiyo.
Zaidi sana kwa mukthadha wa kesi hii, Justin Kaaya hakuwahi hata kukutana na Adamoo, Ling'wenya, wala Lijenje kabla ya kukamatwa kwao.
Kwenye mazingira haya Justin Kaaya alikuwa na umuhimu gani kwenye kesi hii?
Au ni mwendelezo ule ule wa kustajaabu vigezo vya hukumu kama zile za mapingamizi?
Kesi ya Mbowe: Ushahidi upande wa Mashtaka unapochukuliwa kuwa ndiyo Dhahiri
Kumbe mijitu mingi humu haiwezi kufuata mtiririko wa mahojiano and make legal sense out of it! umeuliza swaali zuriAtende "hayo yaliyodaiwa" yapi ndugu mjumbe?
Usiseme hivyo, uzuri ni kuwa hujui utabandikwa maswali yapi ukapotea njia! Penye uongo ukweli utajitenga....Kesi kama hizi wapo watu unawakodi wanakutengenezea kila kitu...mnakaa miezi miwili mna practice mkimaliza mahakamani mtu hachomoki.
Kwa ushahidi wake ni kuwa charge against Mbowe ni za kubumba, he did not witness Mbowe engaged in such stupid transactions!
Can we cal, him an adverse witness/hostile witness?
A hostile witness, also known as an adverse witness or an unfavorable witness, is a witness at trial whose testimony on direct examination is either openly antagonistic or appears to be contrary to the legal position of the party who called the witness.
Kungelikuwa na mahakama huru, kesi imeisha..........This is a case where in both testimony and direct examination, the witness openly appears contrary to the legal position of the party who called the witness.
Typical - unfavorable witness.