Kesi ya Mbowe: Umuhimu wa Ushahidi wa Kaaya ni upi?

Statement ya kaaya kuwa aliripoti kwa mbunge, kibatala kaigeuza kuwa faida KWA mbowe , mbowe kama mbunge ilibidi achukue majina ya wahalifu wa sabaya Ili ashughulike nao, KWA kuripoti kwenye vyombo husika, bunge na polisi na tiss
 
Ameona isiwe tabu.
 
WhatsApp records? Hilo la kuwaambia Makunduchi. Hilo si la kuwaambia wenye uelewa hata kidogo tu.

Hayo ya phone records, calls, SMS nk custodian wake ni nani? Ni watu hawa hawa wasiojulikana? Integrity yake iko je? Je, hayawezi kuwa doctored?
Kama shahidi muhimu no 2 hajasema alitumiwa sms, hela ya kufanya ugaidi je hizo sms za ushahidi alitumiwa nani ?
 
Statement ya kaaya kuwa aliripoti kwa mbunge, kibatala kaigeuza kuwa faida KWA mbowe , mbowe kama mbunge ilibidi achukue majina ya wahalifu wa sabaya Ili ashughulike nao, KWA kuripoti kwenye vyombo husika, bunge na polisi na tiss

Nadhani Kibatala hakuigeuza bali kamsaidia kumfafanulia tu.

Ndiyo maana baadhi ya watajwa wamekwisha hukumiwa.

Kama Mh. Mbowe alivyomwambia kwa maana halisi ya kuwa:

"The rest wasn't his business."
 
Kwa akili zao na uwelewa wao huyo jamaa alikuwa mtu muhimu sana ktk kesi hii. Ukiangalia jinsi walivyopanga ushaidi wao wa uongo na jinsi wakili wake alivyokuwa anakwenda nae ktk mpangilio mzuri wa maswali, usipotumia akiri yoko vizuri unaweza kusema Mbowe amekwisha.

Ushaidi wa namna hii unafikirisha sana hasa juu ya uwezo wa jeshi letu la polisi na mawakili wetu wa Serikali, wanawezaje kwenda Mahakamani na ushaidi huu bila kupitia kwanza maelezo aliyoyatoa polisi wakati wa kufungua mashitaka???

Kwa kweri hii ni aibu kubwa kwa jeshi la polisi, mawakili wa Serikali na Serikali yote kwa ujumla
 
Nijibu vipi PGO iliwasaidia chochote?
Mkuu upo ulipotea!!Enzi za Magufuli ulikuwa hatari sana.Yote kwa Mungu ni mwema.Mungu akusaidie sana maana kiburi ulichokuwa nacho kilikuwa zaidi ya like Cha Magufuli lakini Mungu fundi Bwana,Kiburi ulichokuwa nacho kilikuwa zaidi ya kile cha Cyprian Musiba huwezi amini Mungu wetu huyu ni wetu sote.@magu 2016 ulikuwa na kiburi zaidi hata Makonda ,Mungu huyu ahimidiwe kwa Imani ,matumani na mapendo
 
Kuna madogo wakipewa tu ile tshirt ya ccm akili zinaruka.
Hivi Vitoto havitaki hata kazi vinalewa mda wote kukuona anashoboka kama anzisha ya kukwambia kumbe kanataka pombe tu. Navichukia mnoo.
 
Yaani huyu eti ndo Shahid wa Jamhuri... hapohapo amesema kuwa Wabunge ni viongozi hivyo wanasimamia kuondoa uhalifu, Sasa Mbowe ni mbunge...na alikuwa anapambana na uhalifu wa Sabaya ambae sasa hivi amefungwa miaka 30 kwa kosa la uhalifu. Sasa kosa la Mbowe ni lipi hapo kupambana na mhalifu?
 

Upande wa mashtaka hawakujua kuwa kimsingi shahidi alikuwa ni wa upande wa utetezi.

Bila shaka ni kwa msingi huo huo ndiyo maana hawa ndugu mwengeso, Chagu wa Malunde, Jumbe Brown, zandrano wako chobingo:

 
Hii kesi inanikumbusha kitu inaitwa 'Kangaroo Court' au vipi?

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
 
Atende "hayo yaliyodaiwa" yapi ndugu mjumbe?
Je ni kweli Mh Mbowe alikutana na Kaaya Arusha mjini na huko kijijini kwao? Na je ni kweli alimpa pesa?
Kama hayo mambo ni kweli Mh Mbowe atajibu kwa nini walikutana na sababu ya
Kumtumia pesa kwenye simu ya Kaaya ataitoa
Baada ya maelezo ya Mbowe na vielelezo kutolewa hapo ndio atajulikana nani mkweli?
 
Huu ushahidi wa kusema mbunge anaweza kujigeuza polisi kwasababu anatunga sheria?!
Katika ushahidi wa Kaaya jambo kubwa ni kweli Mbowe alikutana na Kaaya na alimpa pesa? Sababu gani zilizomfanya Mbowe akutane na Kaaya na kumlipa ujila wa tsh200000/=
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…