Ester505
JF-Expert Member
- Jul 14, 2020
- 793
- 1,049
Wanawake tujifunzeeee,tusisubiri yatufike."Wanawake na maendeleo, tufanye kazi tusonge mbele"
bridge: "lelelelelelelele, lololololololo kina mama"
Kumbe muuza nyuchi, shenzi kabis
Vicky Kamata ameungukia pua kwenye kesi ya mirathi ya aliyekuwa mume(danga) wake Dr. Servacius Beda Likwelile. Mahakama imesema ndoa hiyo haikuwa halali kwa sababu Dr. Likwelile alikuwa ameoa hapo mwanzo na hajawahi kutalikiana na mke wake.
Hivyo ndoa ya Vicky Kamata haikuwa halali na hivyo hahusiki kwenye mgao wa mali za marehemu, warithi halali ni watoto wake na wengine waliomo kihalali.
★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★
"The late Dr. Servacius Beda Likwelile died intestate on 19th February 2021. Since his demise, his estate, however, has never been peaceful. Before this court was a legal battle between his children and Vicky Paschal Kamata styled as his legal wife"
IT IS HEREBY ORDERED THAT:
i. The caveat is fails.
ii. That the caveator Vicky Paschal Kamata was not the legally married to the deceased.
iii. That the properties listed in the petition should not be excluded from the estate of the deceased.
iv. That the petitioner Raymond Babu Likwelile is appointed to administer the estate of the deceased.
v. That, before letters are issued to him, he should comply with rule 66 of the Probate and Administration Rules, by providing the administration bond to be twice the gross value of the estate, which has been estimated at 4 billion. This is to be done in 14 days from the day of this judgement.
vi. No order as to costs.
View attachment 2755525View attachment 2755526View attachment 2755527
★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★
Kama mtu ameshafunga ndoa hata ya kiserikali halafu ndoa haijavunjika.Wewe UNATOLEWA ndoa ya kidini,my dia ndoa yako NI batili TU.hakikisha ndoa ya awali imevunjika MAHAKAMANI.
AKIJA MWENYE CHETI CHA MWANZO,Utakula za uso TU hata Kama umewekeza kiasi gani.