Kesi ya Mirathi ya Dkt. Likwelile: Vicky Kamata ashindwa, mahakama yasema ndoa yao haikuwa halali

Kesi ya Mirathi ya Dkt. Likwelile: Vicky Kamata ashindwa, mahakama yasema ndoa yao haikuwa halali

Mahakama imekosea sana.
Vicki aliolewa kwa utaratibu wa kisheria na akapewa cheti cha ndoa na wala hapakuwa na pingamizi lolote. Mahakama zetu ziwe zinatqfakari kwa umakini kabla ya kuamua.
Viki alikuwa mke halali wa marehemu na anayo haki ya kumrithi mume wake.
na wewe ulikua mshika miguu facken kabisa kakate rufaa mahakamani.
 
Tumbo moja wanakataana? hiyo hatari sn mkuu
Eeeh broh mirathii na Mali hz zimefarakanisha ndugu wengi fatilia km una uwezo waandkie urith.... Km ni biashara kubwa zenye matawi angalia mwanao anaeweza kuwa mwendelezaji na waliobak watakuwa washirka lkn apo pia uandke documents kisheria maake binadamu kweny hela kukataana ni dk tu
 
Nahisi umeandika uongo.

Ndoa ya vicky sio halali sababu marehemu alikuwa na ndoa ya mke mmoja ambayo haijavunjika

Vicky kamata na likwelile ndoa yao haikuwa ya kanisani.. ilifungwa ndoa ya kimila kwa kufata taratibu zote za kimila.

Uzi wa ndoa yao uliletwa humu siku ambayo wanafunga ndoa yao. Haikuwa ndoa ya kanisa lolote
Sasa yeye Vicky mbona alionyesha cheti cha ndoa cha kanisani hapo mahakamani? Na pastor aliyeandikwa kwenye cheti hicho alimkatalia kuwa yeye siyo pastor!
 
Mstaafu akipewa milion 100 anaweuka akili wakati pesa hii ni pesa ya kununulia kiwanja tu
Unazarau kinoma nakuhakikishia katika watanzania million 65 ni chini ya million 2 ambao angalau kwenye maisha yao wanaweza ipata million 100 wakiwa vijana

Alafu hujui maisha kufanikiwa sio ujanja au akili kuna watu wanaakili na wajanja na bado wanabangaiza alafu utakutana na watu aina ya wakinga washamba, elimu hawana na mjini atakukuta na atakupita kwenye mafanikio

Fumbo la mafanikio ni gumu sana hakuna atakayekupa jibu la moja kwa moja
 
Sasa yeye Vicky mbona alionyesha cheti cha ndoa cha kanisani hapo mahakamani? Na pastor aliyeandikwa kwenye cheti hicho alimkatalia kuwa yeye siyo pastor!

Soma uzi huu uliandikwa humu mwaka 2016

Nahisi umeandika uongo.

Ndoa ya vicky sio halali sababu marehemu alikuwa na ndoa ya mke mmoja ambayo haijavunjika

Vicky kamata na likwelile ndoa yao haikuwa ya kanisani.. ilifungwa ndoa ya kiserikali kwa kufata taratibu za kiserikali

Uzi wa ndoa yao uliletwa humu siku ambayo wanafunga ndoa yao. Haikuwa ndoa ya kanisa lolote

Acha kutetea ujinga huyo Vick mwenyewe kashindwa hata kuleta vyeti vya ndoa maana Rita waligoma kuandikisha ndoa Kwa Sababu Mzee Alikuwa na ndoa na hata wizara/waziri mwenye dhamana na ishu za ndoa aligoma kutokuitambua hiyo ndoa

Maelezo yote yapo hapo hapo
 
Kwanini wanawake wanapenda kung'ang'ania mali za wanaume? Amekuwa Rwakatare hatusikii kelele wala nini angekuwa mwanaume vita
 
Back
Top Bottom