Kesi ya Mirathi ya Dkt. Likwelile: Vicky Kamata ashindwa, mahakama yasema ndoa yao haikuwa halali

Kesi ya Mirathi ya Dkt. Likwelile: Vicky Kamata ashindwa, mahakama yasema ndoa yao haikuwa halali

Wanawake mjifunze, wengi wanaishi kama nyumba ndogo ila hawajui. Wengine wamefunga ndoa ya kikristo, halafu kabla hawajatoa talaka, wameenda kufunga na mtu mwingine bomani. Anaishi na ndoa mbili. Jueni hiyo ndoa ya pili haitambuliki, ni batili. I know several people ambao wamefunga ndoa bomani baada ya kutofautiana na mke au mumewe wa awali, hivyo ndoa zote mbili zinaexist. Na wengine hawajafunga, wanaishi kihawara tu.
 
Halafu Vick ni mshirikina first class, huyo Likwelile alikuwa na mtu wake permanent namuhifadhi jina huyo Malaya akampinduwa yule Dada wa watu ambayeni very decent, educated and bossylady too akauvaa huu mkenge wa huyu Malaya first class akaolewa yeye.

Uchawi upo ndugu zangu, believe that.
Si kuna kashifa ya ndoa hewa aliwahi kuigiza(kuingizwa) mkenge!
Jamaa likamchumbia, biarusi katandaza kadi mpaka Bungeni na michango chekwa ikachangwa.
Siku ya harusi jamaa likaingia mitini.
Ana gundu gani lakini huyu binti?
 
Si kuna kashifa ya ndoa hewa aliwahi kuigiza(kuingizwa) mkenge!
Jamaa likamchumbia, biarusi katandaza kadi mpaka Bungeni na michango chekwa ikachangwa.
Siku ya harusi jamaa likaingia mitini.
Ana gundu gani lakini huyu binti?
Kumbe jamaa ndo aliingia mtinii.... Naipata hio habari Tena ndo ingefungiwa mbez bch roman
 
Hapo hata mimi nimeishiwa na maneno. Sema nafarijika kuwa hilo bandiko ni la kutengeneza tu, siyo hukumu ya Judge, hawezi kufanya makosa ya kjinga namna hiyo.

Barua haina muhuri wala tarehe.

Hapo anarushwa roho Vicky Kamata, kimtandao.

Tusiamini kila linaloletwa kwenye hii mitandao.
Wapo majaji wa hivyo trust me. Kuna judgement nyingi ni kichefuchefu. Kuhusu hii Sina uhakika.
 
Lakini si ana mtoto na huyo marehemu? Wakati mwingine tuache vingine vitupite. Kama amezaa nae na ni watoto halali wa huyo mzee wanastahili pia.

Na kama mali imeandikwa jina langu huwezi kuiweka kwenye mali za marehemu. Maana nikisoma vielelezo kuna mali hapo inaonesha imeandikwa kwa jina la Vick. Tusishabikie sana maana hakuna msafi hapa. Basi tu za kwetu hazijulikani.


Ni aibu kudai hela kwa style aliyofanya, kama wewe unaweza fanya hivyo basi mtetee, mimi siwezi fanya hivyo, kwa maana hiyo nashabikia
 
Back
Top Bottom