Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
K lyn sii katolewa nje..... Saa hz ndo anadai bills za watoto na zenyw ni kubwa akaambiwa haiwezkanKosa kubwa la Vicky ni kuwanyanyasa watoto wa marehemu! Angekula nao vizuri wala yasingemkuta haya. Tatizo ni tamaa ya kutaka kumiliki mali peke yake huku watoto wakiteseka. Hakujifunza kwa K-Lyn?