Kesi ya Mirathi ya Dkt. Likwelile: Vicky Kamata ashindwa, mahakama yasema ndoa yao haikuwa halali

Wanawake tujifunzeeee,tusisubiri yatufike.
Kama mtu ameshafunga ndoa hata ya kiserikali halafu ndoa haijavunjika.Wewe UNATOLEWA ndoa ya kidini,my dia ndoa yako NI batili TU.hakikisha ndoa ya awali imevunjika MAHAKAMANI.
AKIJA MWENYE CHETI CHA MWANZO,Utakula za uso TU hata Kama umewekeza kiasi gani.
 
Kuna kesi nyingine kabla ya kuanzisha lazima upime urefu wa kina cha maji

Angejikalia kimya na kumalizana na ndugu, huenda angekuwa na furaha sana kuliko machungu aliyo nayo wakati huu.
Tatizo wateja wengi wanaongopewa na mawakili wenye tamaa kua watatoboa mradi wavute mpunga,hata ukidondokea pua wao hawana habari wamesha vuta chao!!
 

Wapi nimetetea uongo ?

Nimesema vicky na likwelile hawakufunga ndoa kwenye kanisa lolote. Na uzi wa hiyo ndoa uliletwa humu mwaka 2016 wakati ndoa inafungwa..

Narudia tena ndoa ya Vicky na Dr hakikufungwa kanisani.. hakuna pastor wala kanisa lolote lililofungisha ndoa yao.

Walifunga kiserikali.. ila ni ndoa batili sababu Dr likwelile alikuwa na ndoa ya mwanzo ambayo haikufikia divorce
 
Wanagombea kanisa bhana


Link ya uzi hii hapa soma mwenyewe


 
Nasemaga wanawake wengi akili hawana.
 
kitu cha msingi wanaume wenzangu tuandike mirathi mapema tuisambaze hadi kwa mabalozi wa nyumba kumi, hawa wadangaji tuendelee kuwagonga kwa akili yani kuwagonga tusiache hadi wapate akili, yani kuwagonga tuendelee hata tusipowagonga watagongwa na boda boda
 
Mimi Kuna rafiki yangu ana mke wa ndoa yupo mwanza. Alikuja Kilimanjaro kikazi akakamatwa na lidada kweli kweli wakafunga ndoa ya bomani lkn yule kaka hakufanya pati Wala nini. Wakajenga majumba na magari ya kifahar. Bahat mbaya yule kaka akafulia yule mwanamke akabdilisha majina ya nyumba chapu akaweka majina yake lakini hizo NYUMA zipo maeneo ambayo hayajarasimishwa, kaenda tu kwa mtendaji akabdilisha majina. Akamfukiza mwanaume... Lkn naona ameshindwa kuziuza nyumba... So hata Vick anaweza kubadilisha majina Mali, kumbe sio zake. MUHIMU anaweza kueleza alizipataje?? Vick alichokosea kasubir mpaka likwe kafariki.. na ndoa yake ni batili kwelikweli

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Wakinga baba zao waliwapandia miti wakiwa watoto so hakuna muujiza Wala akili yeyeto hapo.
Hata wewe ukimpandia miti mwanao heka 10 tu kesho anakunja zaidi ya hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…