Kesi ya Mirathi ya Dkt. Likwelile: Vicky Kamata ashindwa, mahakama yasema ndoa yao haikuwa halali

Ila wanawake sisi jamani! Mtu watoto wako wapo kwenye urithi wewe shida yako ni nini tena plus umekua MP for almost good ten years dah na bado unalilia vitu kama nyumba.....sad
 
Kawaida ya watu wengi wenye tamaa,jinsi wanavyopata ndiyo hutaka kupata zaidi na zaidi!!
 
Ukikosea kuoa mke wa kwanza then ukalazimika kuoa wa pili kabla haujafa seti mapema mambo ya umiliki wa mali kwa ajili ya watoto wako wa mke wa kwanza kimaandishi ili kuepuka migogoro
 
Mtu mzima, msomi unashindwaje kuweka mambo yako sawa ya Mali unapokufa? Mpaka watoto wakadai Mali mahakamani!!? Useless, nonsense, hopeless , foolish.

Umepata masuria, mweleze kabisa huku na kuke uhusikia. Kama tunavyo anza Maisha ya kupendana Leo, basi tuanze kukusanaya Mali zetu Leo.
 
Alkam, Dunia tunapita, yanini kujenga barabarani?? Kama ana Nyumba ambayo mimi siwezi kujenga (sijui umetumia vigezo gani) yanini kusumbuana na watoto wa marehemu?? Tena kupelekana mpaka mahakamani?? Does it make sense??

Kama ni mtu wako wa karibu, mwambie aache tamaa, yeye ni mtu wa Mungu (kama anavyojitambulisha) mwambie hivyo vitu anagombania ni SADAKA!!, Anavyozidi kuvigang'ang'ania ANAJIAIBISHA YEYE MWENYEWE
 
Tako halina msomi, subiri ukuwe Dogo uyaone, Siyo maghorofa.
 

Attachments

  • IMG-20230811-WA0035.jpg
    45 KB · Views: 3
Alikuwa na ndoa, lakini haikuwa halali
 
Soma hukumu mpaka mwisho, mahakama imeamuru Mali zote ziingizwe kwenye Mirathi . Ina maana Vicky kutokuwa mke kunamuondolea haki zote za umiliki wa Mali.
Ooohhhh..... Hapa unamaanisha na zile ambazo Vick ana shares.... Ila jamani busara itumike. Hizi Mali za kugombania sijui Kama huwa Zina mwisho mzuri sana
 
Sometimes Sio akili zao Jamani wanaume wanaorogwa halafu wanawake washirikina sana mtu mwingine Yuko tayari akalale mpk kwenye majeneza Ili kunasa madanga ya kueleweka kaka
Msiwalaumu Hawa wababa ,Dunia Ina Siri sana hii ni survival of the fittest
kweli kabisa. lazima vicky alitumia ushirikina
 
Na ndoa ya Chet Cha Rita kuangalia kumbukumbu hakuna alifoji vyet vya ndoa, Chet Cha mkewe matehemu kimeletwa ndio og.
 
Wewe Jinga kabisa, Vicky ni Malaya first class, kuwa na nyumba Sinza wala si ajabu.

Angekuwa ni mtoto wa Dar siyo mshamba wa Geita angekuwa na nyumba mpaka New York USA.

Amedanga mpaka kwa namba moja wa nchi, ndio unashangaa kuwa na nyumba Sinza?
Kabisa Tena na hivi wakwere wajinga kwa wanawake angemla mno, na angewapa ajira ukoo wake wote hata wa la saba.kuna wakwere wenzangu la Saba walikuwa kiwanjani wanacheza mpira aliwaingiza jeshini wote kijijini kwetu alifika kuwasalimu kiluga kilitawala kawatoa tongotongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…