Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kawaida ya watu wengi wenye tamaa,jinsi wanavyopata ndiyo hutaka kupata zaidi na zaidi!!Aiseee yaani vicky na mimali yote aliyokuwa nayo lakini anataka adhulumu watoto na mke halali wa marehemu? Una Mijengo ya maana ,una biashara kibao ,una kazi yenye mshahara mkubwa ,una uhakika wa kupata pension lakini bado unataka mali nyingine za dhuluma?
We boya Ume nikumbusha hiyo Nyimbo😀😁😂"Wanawake na maendeleo, tufanye kazi tusonge mbele"
bridge: "lelelelelelelele, lololololololo kina mama"
Kumbe muuza nyuchi, shenzi kabisa
Yerewiii! Siamini ati.Halafu alikuwa best friend wa marehemu likwelile. Huyo mwenye kutabasamu kwa bashasha
Alkam, Dunia tunapita, yanini kujenga barabarani?? Kama ana Nyumba ambayo mimi siwezi kujenga (sijui umetumia vigezo gani) yanini kusumbuana na watoto wa marehemu?? Tena kupelekana mpaka mahakamani?? Does it make sense??Kaka una uakika alikua anadanga? Au unasema sababu tu umesikia maneno ya wachumia tumbo?
Acha kutuhumu Mtu kwa maneno ya kuskia tena mtandaoni.
Vicky ana Nyumba sinza huenda huwezi jenga mpaka umauti unakupata,sio sawa kuongea vitu usivyo na uakika navyo.
Tako halina msomi, subiri ukuwe Dogo uyaone, Siyo maghorofa.Mtu mzima, msomi unashindwaje kuweka mambo yako sawa ya Mali unapokufa? Mpaka watoto wakadai Mali mahakamani!!? Useless, nonsense, hopeless , foolish.
Umepata masuria, mweleze kabisa huku na kuke uhusikia. Kama tunavyo anza Maisha ya kupendana Leo, basi tuanze kukusanaya Mali zetu Leo.
Alikuwa na ndoa, lakini haikuwa halaliMahakama imekosea sana.
Vicki aliolewa kwa utaratibu wa kisheria na akapewa cheti cha ndoa na wala hapakuwa na pingamizi lolote. Mahakama zetu ziwe zinatqfakari kwa umakini kabla ya kuamua.
Viki alikuwa mke halali wa marehemu na anayo haki ya kumrithi mume wake.
Alifoji. Sasa mahakama itakupaje vitu ambavyo sio vyako. Kuandika jina sio hati miliki au uhalali kwamba vile vitu ni vyako.
Naomba utueleweshe hapa kwenye sentensi ya mwisho econonistKuandika jina sio hati miliki au uhalali kwamba vile vitu ni vyako.
Mamboz.... Upo?? Heri ya mwaka mpya🤣😅Hahahaha hata wa kada zingine kuwa na roho mbaya ni hulka
Ooohhhh..... Hapa unamaanisha na zile ambazo Vick ana shares.... Ila jamani busara itumike. Hizi Mali za kugombania sijui Kama huwa Zina mwisho mzuri sanaSoma hukumu mpaka mwisho, mahakama imeamuru Mali zote ziingizwe kwenye Mirathi . Ina maana Vicky kutokuwa mke kunamuondolea haki zote za umiliki wa Mali.
kweli kabisa. lazima vicky alitumia ushirikinaSometimes Sio akili zao Jamani wanaume wanaorogwa halafu wanawake washirikina sana mtu mwingine Yuko tayari akalale mpk kwenye majeneza Ili kunasa madanga ya kueleweka kaka
Msiwalaumu Hawa wababa ,Dunia Ina Siri sana hii ni survival of the fittest
Na ndoa ya Chet Cha Rita kuangalia kumbukumbu hakuna alifoji vyet vya ndoa, Chet Cha mkewe matehemu kimeletwa ndio og.Acha kukurupuka, Mahakama imekwambia Tanzania kuna aina mbili za ndoa, Ndoa ya wake wengi na ndoa ya mke mmoja, Marehemu alikuwa na ndoa ya mke mmoja, Na Vick aliolewa kabla ya mke hajafariki, Na mume hakumpa mkewe Taraka, Vilevile Mahakama ilimuuliza Mchungaji aliefungisha ndoa ya Vick alikana hamjui Vick, Maana Mchungaji angekiri nae alikuwa na kosa kisheria na jela ilikuwa inamuita
Kabisa Tena na hivi wakwere wajinga kwa wanawake angemla mno, na angewapa ajira ukoo wake wote hata wa la saba.kuna wakwere wenzangu la Saba walikuwa kiwanjani wanacheza mpira aliwaingiza jeshini wote kijijini kwetu alifika kuwasalimu kiluga kilitawala kawatoa tongotongo.Wewe Jinga kabisa, Vicky ni Malaya first class, kuwa na nyumba Sinza wala si ajabu.
Angekuwa ni mtoto wa Dar siyo mshamba wa Geita angekuwa na nyumba mpaka New York USA.
Amedanga mpaka kwa namba moja wa nchi, ndio unashangaa kuwa na nyumba Sinza?
Nzuri, asante.Sister habari za siku nyingi
Aliyenielewa kanielewa. Siwezi kulazimisha kueleweka.Lugha za kisheria ziko very complicated kwa wasio somea mambo ya sheria! Na rahaa ya kukosoa jua kurekebisha ili wataalam wapime!!