Kesi ya Mirathi ya Dkt. Likwelile: Vicky Kamata ashindwa, mahakama yasema ndoa yao haikuwa halali

Hivyo ndoa ya Vicky Kamata haikuwa halali na hivyo hahusiki kwenye mgao wa mali za marehemu, warithi halali ni watoto wake na wengine waliomo kihalali.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Du, pole sana Vicky. Kama kweli mumeo alikua na Ndoa na haikuvunjwa kisheria, basi mahakama Iko sahihi.

Pole sana, nakumbuka pia uliwahi kuchangiwa michango ya harusi na siku ya harusi jamaa akaingia mitini. Jipe Moyo. Endelea kuwa Mwanamke Shujaa.
 
Endeleeni kumjaza ujinga kama yule wa Mengi naye alibadilisha kila kitu lakini sahivi anazunguka kujiliza kama panya, pumbavu watafute pesa halali
 
Mkuu kuiona 100M ni ndogo na kutobabaishwa nayo, ni dalili nzuri ya kujitambua. Hongera mno! Kwa hali hii hata ukipata 200M hutowehuka. Umasikini mbaya sana mkuu. Hawa wastaafu wengi wamepitia misoto mno incl. kwenda shule km10 kwa miguu.
Hadi Sasa jumla ya pesa iliyopita mkononi mwangu ni milioni 360 na bado sijatoboa naendelea kupambana
 
Lol
Alimlaghai mzee wa watu alijua ni mgonjwa
Kama klyn alivyomlaghai Reginald Mengi
 
Pia hujui watu ndani walikutana na nini mpaka wakafikia kuachana. Wakati mwingine usihukumu maana hakuna msafi. Ndo maana ikaandikwa aliye msafi na awe wa kwanza kurusha jiwe.
Hizi Kauli za usihukumu maana hakuna aliyemsafi ndio zinalea ujinga na madhambi kuendelea.

Maovu lazima yakemewe kwa nguvu zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…