Kesi ya Mirathi ya Dkt. Likwelile: Vicky Kamata ashindwa, mahakama yasema ndoa yao haikuwa halali

Kesi ya Mirathi ya Dkt. Likwelile: Vicky Kamata ashindwa, mahakama yasema ndoa yao haikuwa halali

Vicky Kamata ameungukia pua kwenye kesi ya mirathi ya aliyekuwa mume(danga) wake Dr. Servacius Beda Likwelile. Mahakama imesema ndoa hiyo haikuwa halali kwa sababu Dr. Likwelile alikuwa ameoa hapo mwanzo na hajawahi kutalikiana na mke wake.

Hivyo ndoa ya Vicky Kamata haikuwa halali na hivyo hahusiki kwenye mgao wa mali za marehemu, warithi halali ni watoto wake na wengine waliomo kihalali.

★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★

"The late Dr. Servacius Beda Likwelile died intestate on 19th February 2021. Since his demise, his estate, however, has never been peaceful. Before this court was a legal battle between his children and Vicky Paschal Kamata styled as his legal wife"

IT IS HEREBY ORDERED THAT:

i. The caveat is fails.

ii. That the caveator Vicky Paschal Kamata was not the legally married to the deceased.

iii. That the properties listed in the petition should not be excluded from the estate of the deceased.

iv. That the petitioner Raymond Babu Likwelile is appointed to administer the estate of the deceased.

v. That, before letters are issued to him, he should comply with rule 66 of the Probate and Administration Rules, by providing the administration bond to be twice the gross value of the estate, which has been estimated at 4 billion. This is to be done in 14 days from the day of this judgement.

vi. No order as to costs.

View attachment 2755525View attachment 2755526View attachment 2755527
Hivyo ndoa ya Vicky Kamata haikuwa halali na hivyo hahusiki kwenye mgao wa mali za marehemu, warithi halali ni watoto wake na wengine waliomo kihalali.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Du, pole sana Vicky. Kama kweli mumeo alikua na Ndoa na haikuvunjwa kisheria, basi mahakama Iko sahihi.

Pole sana, nakumbuka pia uliwahi kuchangiwa michango ya harusi na siku ya harusi jamaa akaingia mitini. Jipe Moyo. Endelea kuwa Mwanamke Shujaa.
 
Suala la mume au mke wa mtu ni irrelevant kwa kitu ambacho kina jina lake. Huwezi kugawa mali za mtu. Zenye jina la Likwelile yah unaweza kugawa. Pia hujui watu ndani walikutana na nini mpaka wakafikia kuachana. Wakati mwingine usihukumu maana hakuna msafi. Ndo maana ikaandikwa aliye msafi na awe wa kwanza kurusha jiwe. Ni wrong kugawa mali iliyoandikwa kwa jina la huyo mwanamke au jina la mtoto unless hakimu aoneshe kuwa lilibadilishwa kwa njia isiyo halali. Mahakama imefungwa kwenye kufanya maamuzi kwa yale mambo ambayo imeletewa. Haina mamlaka ya kuspeculate hata kama ni kweli au ni uongo. Kwenye rufaa dada atashinda hapo mali zenye jina lake na la mtoto wake zilipoingizwa.
Endeleeni kumjaza ujinga kama yule wa Mengi naye alibadilisha kila kitu lakini sahivi anazunguka kujiliza kama panya, pumbavu watafute pesa halali
 
Mkuu kuiona 100M ni ndogo na kutobabaishwa nayo, ni dalili nzuri ya kujitambua. Hongera mno! Kwa hali hii hata ukipata 200M hutowehuka. Umasikini mbaya sana mkuu. Hawa wastaafu wengi wamepitia misoto mno incl. kwenda shule km10 kwa miguu.
Hadi Sasa jumla ya pesa iliyopita mkononi mwangu ni milioni 360 na bado sijatoboa naendelea kupambana
 
Suala la mume au mke wa mtu ni irrelevant kwa kitu ambacho kina jina lake. Huwezi kugawa mali za mtu. Zenye jina la Likwelile yah unaweza kugawa.

Pia hujui watu ndani walikutana na nini mpaka wakafikia kuachana. Wakati mwingine usihukumu maana hakuna msafi. Ndo maana ikaandikwa aliye msafi na awe wa kwanza kurusha jiwe.

Ni wrong kugawa mali iliyoandikwa kwa jina la huyo mwanamke au jina la mtoto unless hakimu aoneshe kuwa lilibadilishwa kwa njia isiyo halali. Mahakama imefungwa kwenye kufanya maamuzi kwa yale mambo ambayo imeletewa. Haina mamlaka ya kuspeculate hata kama ni kweli au ni uongo. Kwenye rufaa dada atashinda hapo mali zenye jina lake na la mtoto wake zilipoingizwa.
Lol
Alimlaghai mzee wa watu alijua ni mgonjwa
Kama klyn alivyomlaghai Reginald Mengi
 
Pia hujui watu ndani walikutana na nini mpaka wakafikia kuachana. Wakati mwingine usihukumu maana hakuna msafi. Ndo maana ikaandikwa aliye msafi na awe wa kwanza kurusha jiwe.
Hizi Kauli za usihukumu maana hakuna aliyemsafi ndio zinalea ujinga na madhambi kuendelea.

Maovu lazima yakemewe kwa nguvu zote.
 
Back
Top Bottom