Kesi ya Mirathi ya Dkt. Likwelile: Vicky Kamata ashindwa, mahakama yasema ndoa yao haikuwa halali

Ana nyumba ya ghorofa kibwegere kikwete alomjengea mtoto yule wa kiume alozaa naye
Tamaa tu
Na tamaa ni dhambi
Tamaa za mali tena sio za kuchuma kwa nguvu na jasho lake anataka hadi kuleta dhuluma,alikua anawajibu hovyo watoto na akijua hatafanywa kitu si anajiona yeye ni kada atawekewa mazingira ya ushindi,inasikitisha sana
 
Kosa lake kubwa ni kuhodhi mali zote, akawakataa watoto wale wakubwa, yani alikalia kila kitu kuanzia assetts mpaka pesa za mzee...

Meanwhile Likwelile hawakudivorce na yule mke wa kwanza..

Halafu wewe unaongea ushuzi gani hapa!
 

Vicky ndoa yake inakosa mashiko kwasababu marehemu tayari alishakua na ndoa, huoni mahakama imesimamia haki, yani mali wachume marehemu na mke mkubwa halafu ajekula hawara, na cha zaidi watoto wa marehemu wapo , sheria ingekua inahuruma kama unavyotaka watu wengi wangepokonywa haki zao mkononi
 
Ndiyo kagongwa bure
Hajagongwa bure mkuu.

Si unajua mizee ikiangukiaga kwa dogo dogo, ni kama mbwa anavyojipeleka kumezwa na chatu, anakuwa anaelewa tatizo, lakini hukosa uamzi mbadala!

Ndiyo maana hujisogeza kuliwa huku akilia!

Na kwa mapenzi yenye sura hiyo, lazima mzee alikuwa akihonga pakubwa na anakula padogo[emoji38][emoji38].
 
Hakuwa mke halali, kwa hivyo vyote alivyopewa sio vyake kisheria.
 
Mahakama huwa zinasema kabisa mwanaume mwenye michepuko pambana mjengee mchepuko wako na umpe chake mapema, maana kisheria hawa watu wanakosa utetezi mbele ya mahakama, ni makosa ya marehemu kumdumbukiza hawara/mchepuko kwenye shimo la matatizo,hawara dai chako mapema yani omba mgao wako wakati marehemu yupo hai
 
Tatizo Vick anajifanya ni Malaya first class.

Hamjui kazaa na yule Mkwere wa New York mwenye tabasamu bashasha?
 

Vicky Hajazaa na marehemu hata mtoto mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…