Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Hao wamezidiHahahaha hata wa kada zingine kuwa na roho mbaya ni hulka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wamezidiHahahaha hata wa kada zingine kuwa na roho mbaya ni hulka
Tamaa za mali tena sio za kuchuma kwa nguvu na jasho lake anataka hadi kuleta dhuluma,alikua anawajibu hovyo watoto na akijua hatafanywa kitu si anajiona yeye ni kada atawekewa mazingira ya ushindi,inasikitisha sanaAna nyumba ya ghorofa kibwegere kikwete alomjengea mtoto yule wa kiume alozaa naye
Tamaa tu
Na tamaa ni dhambi
Ndio maana kumbe hua umejaza matope kichwani,kumbe na wewe ni mfuasi wa huyo Kigagula! halafu hua mnamuona ni kama mungu wenu vile,kila atakachokitapita nyie hua mnakimeza tu.Fuatilia unadhani ni utani, Mange Kimambi kaandika vizuri sn Instagram
Kosa lake kubwa ni kuhodhi mali zote, akawakataa watoto wale wakubwa, yani alikalia kila kitu kuanzia assetts mpaka pesa za mzee...Suala la mume au mke wa mtu ni irrelevant kwa kitu ambacho kina jina lake. Huwezi kugawa mali za mtu. Zenye jina la Likwelile yah unaweza kugawa.
Pia hujui watu ndani walikutana na nini mpaka wakafikia kuachana. Wakati mwingine usihukumu maana hakuna msafi. Ndo maana ikaandikwa aliye msafi na awe wa kwanza kurusha jiwe.
Ni wrong kugawa mali iliyoandikwa kwa jina la huyo mwanamke au jina la mtoto unless hakimu aoneshe kuwa lilibadilishwa kwa njia isiyo halali. Mahakama imefungwa kwenye kufanya maamuzi kwa yale mambo ambayo imeletewa. Haina mamlaka ya kuspeculate hata kama ni kweli au ni uongo. Kwenye rufaa dada atashinda hapo mali zenye jina lake na la mtoto wake zilipoingizwa.
na Yule mwana dada mrembo Mrs Mengi ... .Yale yale ya Amisa Mobeto😆😆😆
Mahakama imekosea sana.
Vicki aliolewa kwa utaratibu wa kisheria na akapewa cheti cha ndoa na wala hapakuwa na pingamizi lolote. Mahakama zetu ziwe zinatqfakari kwa umakini kabla ya kuamua.
Viki alikuwa mke halali wa marehemu na anayo haki ya kumrithi mume wake.
Hata mumeo ni mfuasi wakeNdio maana kumbe hua umejaza matope kichwani,kumbe na wewe ni mfuasi wa huyo Kigagula! halafu hua mnamuona ni kama mungu wenu vile,kila atakachokitapita nyie hua mnakimeza tu.
Yaani caveat is fails ndo nini sasa?Kimenisikitisha hicho Kingereza kilichopo kwenye hukumu.
Dah, Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda. Ikiwa judge ndio hivyo, judegement siu itatupiliwa mbali mahakama ya rufaa kwa lugha tu hiyo.
LAke bwanaHata hilo gorofa una uhakika ni lake?
Hajagongwa bure mkuu.Ndiyo kagongwa bure
Hakuwa mke halali, kwa hivyo vyote alivyopewa sio vyake kisheria.Suala la mume au mke wa mtu ni irrelevant kwa kitu ambacho kina jina lake. Huwezi kugawa mali za mtu. Zenye jina la Likwelile yah unaweza kugawa.
Pia hujui watu ndani walikutana na nini mpaka wakafikia kuachana. Wakati mwingine usihukumu maana hakuna msafi. Ndo maana ikaandikwa aliye msafi na awe wa kwanza kurusha jiwe.
Ni wrong kugawa mali iliyoandikwa kwa jina la huyo mwanamke au jina la mtoto unless hakimu aoneshe kuwa lilibadilishwa kwa njia isiyo halali. Mahakama imefungwa kwenye kufanya maamuzi kwa yale mambo ambayo imeletewa. Haina mamlaka ya kuspeculate hata kama ni kweli au ni uongo. Kwenye rufaa dada atashinda hapo mali zenye jina lake na la mtoto wake zilipoingizwa.
Una maanisha wewe na mumeo wote ni wafuasi wa huyo kigagula?Hata mumeo ni mfuasi wake
Maana yake Caveat haina mashiko kisheria.Yaani caveat is fails ndo nini sasa?
ALIKUWA KATIBU MKUU WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO ENZI ZILE ZA AWAMU YA NNESamahani, nisaidie kujua Dr Likwelile alikuwa anafanya kazi gani? Kiongozi Serikalini? Mfanyabiashara? Daktari wa hospitalini? Ahsante
Ndiyo sister anguUna maanisha wewe na mumeo wote ni wafuasi wa huyo kigagula?
Tatizo Vick anajifanya ni Malaya first class.Mahakama huwa zinasema kabisa mwanaume mwenye michepuko pambana mjengee mchepuko wako na umpe chake mapema, maana kisheria hawa watu wanakosa utetezi mbele ya mahakama, ni makosa ya marehemu kumdumbukiza hawara/mchepuko kwenye shimo la matatizo,hawara dai chako mapema yani omba mgao wako wakati marehemu yupo hai
Lakini si ana mtoto na huyo marehemu? Wakati mwingine tuache vingine vitupite. Kama amezaa nae na ni watoto halali wa huyo mzee wanastahili pia.
Na kama mali imeandikwa jina langu huwezi kuiweka kwenye mali za marehemu. Maana nikisoma vielelezo kuna mali hapo inaonesha imeandikwa kwa jina la Vick. Tusishabikie sana maana hakuna msafi hapa. Basi tu za kwetu hazijulikani.
Haya nenda kampikie chai mumeo sasa na uache kujibizana na wanaume hapa ili usije ukagongwa talaka ya bure ukaja kutusumbua hapa na thd ya kutaka tukupe ushauri.Ndiyo sister angu