Kesi ya Mirathi ya Dkt. Likwelile: Vicky Kamata ashindwa, mahakama yasema ndoa yao haikuwa halali

Huwa wanajisahau wanabaki kuponda raha pekee, angalia yule wa Mengi na Mrema wote walikuwa wanazunguka tu na hao wazee kuponda raha kama vile wana mkataba na MUNGU
 
Yaani caveat is fails ndo nini sasa?
Hapo hata mimi nimeishiwa na maneno. Sema nafarijika kuwa hilo bandiko ni la kutengeneza tu, siyo hukumu ya Judge, hawezi kufanya makosa ya kjinga namna hiyo.

Barua haina muhuri wala tarehe.

Hapo anarushwa roho Vicky Kamata, kimtandao.

Tusiamini kila linaloletwa kwenye hii mitandao.
 

Nimesoma hukumu. Kuna sehemu imeandika vicky alifoji mukhtasari wa kikao cha familia na kuupeleka mahakamani kuonesha familia imemteua kuwa msimamizi wa mirathi.

Hilo swala la kufoji litambana hata akikata rufaa
 
Huyu si ndo inspirational wa wanawake Tanzania?? Aliwaimbia mpaka wimbo wafanye kazi wapate MAENDELEO??

Kumbe kazi kudanga??
Kusuburi watu wafe akadai mirathi kortini??

In this world trust nobody!!!
Mimi nkajua ndo mkewe? Ila nilijiulza maswal mengi Kuna kipnd vik alikuwa anaolewa na jamaa mmj ndo akaahirisha akaenda kwa mshkj nadhan alkuwq wizara ya fedha uko
 
Kwani mke mkubwa wa marehem yupo hai?
 
Watoto wa Marehemu Kwa mama yupi? WA kwanza au wa pili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…