Kesi ya Mirathi ya Dkt. Likwelile: Vicky Kamata ashindwa, mahakama yasema ndoa yao haikuwa halali

Hii ni ya kada imepigwa fasta fasta
 
Sheria ya ndoa imempa mke urithi 50% hata kama hajazaa

Wanawake wadangaji ndio wanapendea hapo
Ndoa yake ni batili, tulioowa ndoa ya mke mmoja tunalijuwa hili vizuri na ndivyo vyeti vyetu vya ndoa vilivyojazwa.

Ukiona mtu anapambania divorce usidhani ni mjinga.

Na ukiona Dr Mwaka anakataa kutowa talaka si mjinga pia.
 
Du, pole sana Vicky. Kama kweli mumeo alikua na Ndoa na haikuvunjwa kisheria, basi mahakama Iko sahihi.

Pole sana, nakumbuka pia uliwahi kuchangiwa michango ya harusi na siku ya harusi jamaa akaingia mitini. Jipe Moyo. Endelea kuwa Mwanamke Shujaa.
Mwanaume ndo aliingia mtini ama viki ndo aligeuza kibao? Em leta gazeti lile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…