Kesi ya Mirathi ya Dkt. Likwelile: Vicky Kamata ashindwa, mahakama yasema ndoa yao haikuwa halali

Kesi ya Mirathi ya Dkt. Likwelile: Vicky Kamata ashindwa, mahakama yasema ndoa yao haikuwa halali

Mahakama imekosea sana.
Vicki aliolewa kwa utaratibu wa kisheria na akapewa cheti cha ndoa na wala hapakuwa na pingamizi lolote. Mahakama zetu ziwe zinatqfakari kwa umakini kabla ya kuamua.
Viki alikuwa mke halali wa marehemu na anayo haki ya kumrithi mume wake.
 
Mahakama imekosea sana.
Vicki aliolewa kwa utaratibu wa kisheria na akapewa cheti cha ndoa na wala hapakuwa na pingamizi lolote. Mahakama zetu ziwe zinatqfakari kwa umakini kabla ya kuamua.
Viki alikuwa mke halali wa marehemu na anayo haki ya kumrithi mume wake.
Si ndio hizo hizo mahakama mnatumia Kufunga wapinzani?......unalia nini sasa.
 
Suala la mume au mke wa mtu ni irrelevant kwa kitu ambacho kina jina lake. Huwezi kugawa mali za mtu. Zenye jina la Likwelile yah unaweza kugawa.

Pia hujui watu ndani walikutana na nini mpaka wakafikia kuachana. Wakati mwingine usihukumu maana hakuna msafi. Ndo maana ikaandikwa aliye msafi na awe wa kwanza kurusha jiwe.

Ni wrong kugawa mali iliyoandikwa kwa jina la huyo mwanamke au jina la mtoto unless hakimu aoneshe kuwa lilibadilishwa kwa njia isiyo halali. Mahakama imefungwa kwenye kufanya maamuzi kwa yale mambo ambayo imeletewa. Haina mamlaka ya kuspeculate hata kama ni kweli au ni uongo. Kwenye rufaa dada atashinda hapo mali zenye jina lake na la mtoto wake zilipoingizwa.
Nikudokeze kidogo usicho jua VICKY alikuta ndani walaka w mirathi imeandikwa na marehemu kisha YY akachukua akaenda kubadilisha na kuongeza majina kwenye mali na kuweka majina yake. Masikini uyo Vick bila kujua Mzee iyo pepa ya mirathi OG alimpa rafiki yake pia awashikie watoto wake siku akifa alete (alikua anauzia siraha z serikali (CODE) na OG nyingine kwa mwanasheria wake na OG mirathi nyingine kwa mtoto wake wa UK kwa sasa YUKO canada.sory bro!! Siku ya mirathi akaleta yake aliyo EDIT.

Kumbe wanamchora tu. Lakini Mzee kwenye OG mirathi aligawa mali kisomi mnoo. Ikiwepo na Vick sema ndio akulizika HEKALU la mbweni ndio linamtoa roho. Watoto wa DK. Likwelile walikua fea sana cku y mirathi lakini. Ndio wakamwambia aende mahakamani tu. Kisha watu wakaja na mirathi OG. Hii imeendaaaah. Oya bro si uje bongo basi hata one time kisha useti mipango fasta. Sema ile pepa eti ndoa y kimila hakimu kakataa katupilia mbali. Alafu mpk sasa nackia kule mpgi kapeleka waganga w JADI.

Sema na wewe mambo mengine unapenda kuendesha kisomi mnoo.Huyu mkicheka nae atawapunguza. Kuweni makini.Mpe Hi shemu ndani ya ONTARIO. Mwambie sisi ndio sisi wengine mafisi.
 
Yaani Dr Likwelile na usomi wake wote alikosa staha akachukua huyu changu na eti akafunga naye ndoa hata kabla hajaachana na mkewe wa kwanza au vicky alimpa limbwata?....wanaume tujifunze kuthibiti ashiki
 
Halafu kesi za mirathi huwa zinachukua muda sana sijawahi juwa nini shida hasa, unakuta kesi inaenda miaka 10,kidogo angarau hii imeenda chapu chapu ,kuna namna kwenye kesi za mirathi mahakama zingejitahidi zikatatua hizi kero ili kwa wakati warithi wapate haki zao na kunufaika na stahiki zao. kama wakusoma wasome nk
 
Back
Top Bottom