Kesi ya Mirathi ya Dkt. Likwelile: Vicky Kamata ashindwa, mahakama yasema ndoa yao haikuwa halali

Mimi Kuna rafiki yangu ana mke wa ndoa yupo mwanza. Alikuja Kilimanjaro kikazi akakamatwa na lidada kweli kweli wakafunga ndoa ya bomani lkn yule kaka hakufanya pati Wala nini. Wakajenga majumba na magari ya kifahar. Bahat mbaya yule kaka akafulia yule mwanamke akabdilisha majina ya nyumba chapu akaweka majina yake lakini hizo NYUMA zipo maeneo ambayo hayajarasimishwa, kaenda tu kwa mtendaji akabdilisha majina. Akamfukiza mwanaume... Lkn naona ameshindwa kuziuza nyumba... So hata Vick anaweza kubadilisha majina Mali, kumbe sio zake. MUHIMU anaweza kueleza alizipataje?? Vick alichokosea kasubir mpaka likwe kafariki.. na ndoa yake ni batili kwelikweli

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Huyo mwizi wa Kilimanjaro alizaa na huyo Mwanaume
 
Lol
Alimlaghai mzee wa watu alijua ni mgonjwa
Kama klyn alivyomlaghai Reginald Mengi
Wakati anaona na Vicky mlijuaje kama alikua hajaivunja mahakamani? Kwa hiyo mnataka kusema katibu mkuu wa wizara ya fedha alikua na upungufu wa akili? Maana wameona bado yupo kwenye utumishi serikalini.
Ndoa za kikristo haina wake wawili na huyo mzee anasemekana ana mkewe ...Ina maana ypo ndani ya ndoa yey huyo Vicky ni danga hata kama wamezaa hapa ndio tatizo.
Ndio haina wake wawili ila inavunjwa mahakamani. Je huyo mzee watu wana uhakika haikuvunjwa mahakamani?
 
Nimesoma hukumu. Kuna sehemu imeandika vicky alifoji mukhtasari wa kikao cha familia na kuupeleka mahakamani kuonesha familia imemteua kuwa msimamizi wa mirathi.

Hilo swala la kufoji litambana hata akikata rufaa
Sikukatalii usemavyo nauliza je mali zenye majina ya Vick kuwekwa kwenye mgawanyo zinakujaje? Kama ni mali zake halali hazitakiwi kujumuishwa huko.
 
Hakuwa mke halali, kwa hivyo vyote alivyopewa sio vyake kisheria.
Humzuii mtu kumpa mwenzake kitu. Hakuna sheria inayopangia mtu unagawaje vitu vyako ila ukishakufa kama hukuandika urithi ndo mahakama inapanga kwa ajili yako. Hapo mimi napinga vitu vilivyoandikwa jina la Vick kujumuishwa kwenye mirathi. Pia kama kuna chenye jina la binti yake na yeye ndio msimamizi wa binti yake maana ndo mzazi aliyepo hai haiwezekani kunyanganywa hiyo haki. Anaweza kunyang’anywa haki ya vile vyenye jina la Dr Likwelile lakini sio vyenye jina lake.
 
Kimenisikitisha hicho Kingereza kilichopo kwenye hukumu.

Dah, Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda. Ikiwa judge ndio hivyo, judegement siu itatupiliwa mbali mahakama ya rufaa kwa lugha tu hiyo.
Ndo sheria ilivo , kwanza naona jurisprudence ya Kenya na Uganda ikiland tz , hapa unaambiwa divorce utarithi ulichochangia
 
Lakini si ana mtoto na huyo marehemu? Wakati mwingine tuache vingine vitupite. Kama amezaa nae na ni watoto halali wa huyo mzee wanastahili pia.

Na kama mali imeandikwa jina langu huwezi kuiweka kwenye mali za marehemu. Maana nikisoma vielelezo kuna mali hapo inaonesha imeandikwa kwa jina la Vick. Tusishabikie sana maana hakuna msafi hapa. Basi tu za kwetu hazijulikani.
Huyo mtoto naskia sio wa likwe. Alipewa tu Hilo jina, babaye ni polisi

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Humzuii mtu kumpa mwenzake kitu. Hakuna sheria inayopangia mtu unagawaje vitu vyako ila ukishakufa kama hukuandika urithi ndo mahakama inapanga kwa ajili yako. Hapo mimi napinga vitu vilivyoandikwa jina la Vick kujumuishwa kwenye mirathi. Pia kama kuna chenye jina la binti yake na yeye ndio msimamizi wa binti yake maana ndo mzazi aliyepo hai haiwezekani kunyanganywa hiyo haki. Anaweza kunyang’anywa haki ya vile vyenye jina la Dr Likwelile lakini sio vyenye jina lake.

Wewe ni mwanasheria au hakimu ama mtu tuu!
 
Wakati anaona na Vicky mlijuaje kama alikua hajaivunja mahakamani? Kwa hiyo mnataka kusema katibu mkuu wa wizara ya fedha alikua na upungufu wa akili? Maana wameona bado yupo kwenye utumishi serikalini.

Ndio haina wake wawili ila inavunjwa mahakamani. Je huyo mzee watu wana uhakika haikuvunjwa mahakamani?

Kama ilivunjwa mahakamani uletwe ushahidi, vinginevyo hiki kidada ni kihawara tu, kizinzi!
 
Nakumbuka kulikuwa na harusi ya kwanza afunge sijui na mwanaume gani nadhani mwanaume akaingia mitini huyo mbunge akachanganyikiwa ikiwemo kulazwa.

Ngoja niitafute hoyo thread itakuwepo

Mama huyu akana kuvuruga ndoa ya Vicky Kamata
Suala la kukwama kufungwa kwa ndoa ya Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Vicky Kamata limechukua sura mpya baada ya mzazi mwenza wa mchumba wa mbunge huyo, kukanusha taarifa kwamba alikwenda Dodoma kwa lengo la kuomba msaada kwa viongozi wa Bunge.

Kauli ya mama huyo imezidisha utata katika sakata la kukwama kufungwa kwa ndoa hiyo iliyokuwa ifanyike Jumamosi baada ya kutokea habari kuwa mwanamke mmoja alikwenda bungeni mjini Dodoma kutaka kuonana na Spika kwa lengo la kuomba Bunge limsaidie kupata haki yake kabla ya harusi hiyo kufungwa na hivyo kusababisha harusi kutofanyika.

Kamata, ambaye alijizolea umaarufu kutokana na wimbo wake wa “Wanawake na Maendeleo” na baadaye kuingia bungeni katika uchaguzi wa mwaka 2010, alikuwa afunge ndoa na mtu aitwaye Charles Gardiner Jumamosi iliyopita jijini Dar es Salaam, lakini haikufanyika kutokana na mbunge huyo kuwa mgonjwa kiasi cha kulazwa hospitali maeneo ya Tabata.

Jana, Kinavi Dadi, ambaye ni mzazi mwenza wa Gardiner, alikanusha kufunga safari hadi Dodoma kwa lengo hilo.

“Ni kweli kwamba Charles ni baba watoto wangu, lakini sijawahi kwenda Dodoma na wala sifahamu chochote kuhusu safari hiyo. Nadhani inatosha,” alisema mama huyo na hakutaka mazungumzo zaidi.

Baadaye kidogo mmoja wa ndugu wa Kinavi, ambaye aliomba asitajwe jina lake gazetini, alikiri ndugu yao kufunga ndoa na Gardiner Juni 2004 na kujaliwa kupata watoto wawili, lakini walitofautiana na baadaye ndoa yao kuvunjwa mwaka 2012.

“Ni kweli kwamba dada yetu alifunga ndoa na Charles, lakini pia ni kweli kwamba walipeana takala halali two years ago (miaka miwili iliyopita), kwa hiyo taarifa kwamba eti amezuia ndoa isifungwe, siyo za kweli na wala huko Dodoma hajawahi kwenda,” alisema.

Alisema taarifa kwamba aliyepata kuwa mke wa Gardiner alikwenda Dodoma kuomba msaada wa Bunge zimewaumiza sana kama familia kutokana ukweli kwamba Kinavi ndiye anayefahamika kuwa mke wa kwanza.

“Ndugu yetu analia sana kutokana na kuumizwa na wale wanaomchafua. Sisi katika familia tumelelewa kwa maadili hivyo Kinavi siyo mtu wa kuzuia ndoa ya Gardiner maana walishatengana, mawasiliano yaliyopo ni yale yanayohusu watoto ambao wana haki ya wazazi wote wawili. Hatujui waliozitangaza hizo habari walikuwa na malengo gani,” alisisitiza.

Bungeni Dodoma

Wakati hayo yakiendelea, habari kutoka bungeni Dodoma zinasema mwanamke aliyedaiwa kuwa mke wa Gardiner ni ‘feki’ na alikuwa wa kutengenezwa na baadhi ya wabunge kwa lengo la kumtibulia Kamata.

Mpango huo unadaiwa kuwahusisha wabunge wanawake wanne; watatu kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM) na mmoja kutoka Chadema ambao awali waliapa kwamba ndoa ya mbunge mwenzao isingefungwa.
 
Vicky Kamata ameungukia pua kwenye kesi ya mirathi ya aliyekuwa mume(danga) wake Dr. Servacius Beda Likwelile. Mahakama imesema ndoa hiyo haikuwa halali kwa sababu Dr. Likwelile alikuwa ameoa hapo mwanzo na hajawahi kutalikiana na mke wake.

Hivyo ndoa ya Vicky Kamata haikuwa halali na hivyo hahusiki kwenye mgao wa mali za marehemu, warithi halali ni watoto wake na wengine waliomo kihalali.

★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★

"The late Dr. Servacius Beda Likwelile died intestate on 19th February 2021. Since his demise, his estate, however, has never been peaceful. Before this court was a legal battle between his children and Vicky Paschal Kamata styled as his legal wife"

IT IS HEREBY ORDERED THAT:

i. The caveat is fails.

ii. That the caveator Vicky Paschal Kamata was not the legally married to the deceased.

iii. That the properties listed in the petition should not be excluded from the estate of the deceased.

iv. That the petitioner Raymond Babu Likwelile is appointed to administer the estate of the deceased.

v. That, before letters are issued to him, he should comply with rule 66 of the Probate and Administration Rules, by providing the administration bond to be twice the gross value of the estate, which has been estimated at 4 billion. This is to be done in 14 days from the day of this judgement.

vi. No order as to costs.

View attachment 2755525View attachment 2755526View attachment 2755527

★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★

Mama huyu akana kuvuruga ndoa ya Vicky Kamata
Suala la kukwama kufungwa kwa ndoa ya Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Vicky Kamata limechukua sura mpya baada ya mzazi mwenza wa mchumba wa mbunge huyo, kukanusha taarifa kwamba alikwenda Dodoma kwa lengo la kuomba msaada kwa viongozi wa Bunge.

Kauli ya mama huyo imezidisha utata katika sakata la kukwama kufungwa kwa ndoa hiyo iliyokuwa ifanyike Jumamosi baada ya kutokea habari kuwa mwanamke mmoja alikwenda bungeni mjini Dodoma kutaka kuonana na Spika kwa lengo la kuomba Bunge limsaidie kupata haki yake kabla ya harusi hiyo kufungwa na hivyo kusababisha harusi kutofanyika.

Kamata, ambaye alijizolea umaarufu kutokana na wimbo wake wa “Wanawake na Maendeleo” na baadaye kuingia bungeni katika uchaguzi wa mwaka 2010, alikuwa afunge ndoa na mtu aitwaye Charles Gardiner Jumamosi iliyopita jijini Dar es Salaam, lakini haikufanyika kutokana na mbunge huyo kuwa mgonjwa kiasi cha kulazwa hospitali maeneo ya Tabata.

Jana, Kinavi Dadi, ambaye ni mzazi mwenza wa Gardiner, alikanusha kufunga safari hadi Dodoma kwa lengo hilo.

“Ni kweli kwamba Charles ni baba watoto wangu, lakini sijawahi kwenda Dodoma na wala sifahamu chochote kuhusu safari hiyo. Nadhani inatosha,” alisema mama huyo na hakutaka mazungumzo zaidi.

Baadaye kidogo mmoja wa ndugu wa Kinavi, ambaye aliomba asitajwe jina lake gazetini, alikiri ndugu yao kufunga ndoa na Gardiner Juni 2004 na kujaliwa kupata watoto wawili, lakini walitofautiana na baadaye ndoa yao kuvunjwa mwaka 2012.

“Ni kweli kwamba dada yetu alifunga ndoa na Charles, lakini pia ni kweli kwamba walipeana takala halali two years ago (miaka miwili iliyopita), kwa hiyo taarifa kwamba eti amezuia ndoa isifungwe, siyo za kweli na wala huko Dodoma hajawahi kwenda,” alisema.

Alisema taarifa kwamba aliyepata kuwa mke wa Gardiner alikwenda Dodoma kuomba msaada wa Bunge zimewaumiza sana kama familia kutokana ukweli kwamba Kinavi ndiye anayefahamika kuwa mke wa kwanza.

“Ndugu yetu analia sana kutokana na kuumizwa na wale wanaomchafua. Sisi katika familia tumelelewa kwa maadili hivyo Kinavi siyo mtu wa kuzuia ndoa ya Gardiner maana walishatengana, mawasiliano yaliyopo ni yale yanayohusu watoto ambao wana haki ya wazazi wote wawili. Hatujui waliozitangaza hizo habari walikuwa na malengo gani,” alisisitiza.

Bungeni Dodoma

Wakati hayo yakiendelea, habari kutoka bungeni Dodoma zinasema mwanamke aliyedaiwa kuwa mke wa Gardiner ni ‘feki’ na alikuwa wa kutengenezwa na baadhi ya wabunge kwa lengo la kumtibulia Kamata.

Mpango huo unadaiwa kuwahusisha wabunge wanawake wanne; watatu kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM) na mmoja kutoka Chadema ambao awali waliapa kwamba ndoa ya mbunge mwenzao isingefungwa.
 
Wakati anaona na Vicky mlijuaje kama alikua hajaivunja mahakamani? Kwa hiyo mnataka kusema katibu mkuu wa wizara ya fedha alikua na upungufu wa akili? Maana wameona bado yupo kwenye utumishi serikalini.

Ndio haina wake wawili ila inavunjwa mahakamani. Je huyo mzee watu wana uhakika haikuvunjwa mahakamani?
Hakuwai kuvunja ndoa Wala kutoa talaka. Na kabla ya Vick palikuwepo limchepuko lingine, Kisha Vick ndo nae akaja 2016 akafunga ndoa kwa DC. Ikumbukwe pia NYUMA Vick alishapitaga nae akiwa BOT, ktk harakat za kupasha kiporo Huku Vick akiwa na stress za scandal ya kukimbiwa siku ya harusi ndo akacheza hii filamu.... We jiulize huyo glory likwelile ni WA 2016??

Back
Top Bottom