Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Forgery haina excuse, na wakimkazia sana anaweza funguliwa kesi ya Jinai!!Nimesoma hukumu. Kuna sehemu imeandika vicky alifoji mukhtasari wa kikao cha familia na kuupeleka mahakamani kuonesha familia imemteua kuwa msimamizi wa mirathi.
Hilo swala la kufoji litambana hata akikata rufaa
Ushawahi kwenda kuoa bure?Kwani kuna ushuru anafaa alipwe ??? Kama nikuuza angemwambia bei
Kwanini analazimisha kuolewa?Nakumbuka kulikuwa na harusi ya kwanza afunge sijui na mwanaume gani nadhani mwanaume akaingia mitini huyo mbunge akachanganyikiwa ikiwemo kulazwa.
Ngoja niitafute hoyo thread itakuwepo
Watu wametafuta mali miaka zaidi ya 30 wewe unaenda kuingia na kutaka kubeba zote. Shenzi zakedaaaaah hua nafurahi sana kesi kama hizi za washenzi kushindwa
Pamoja na ubunge wake anakosa pesa za kujenga?Mimi Kuna rafiki yangu ana mke wa ndoa yupo mwanza. Alikuja Kilimanjaro kikazi akakamatwa na lidada kweli kweli wakafunga ndoa ya bomani lkn yule kaka hakufanya pati Wala nini. Wakajenga majumba na magari ya kifahar. Bahat mbaya yule kaka akafulia yule mwanamke akabdilisha majina ya nyumba chapu akaweka majina yake lakini hizo NYUMA zipo maeneo ambayo hayajarasimishwa, kaenda tu kwa mtendaji akabdilisha majina. Akamfukiza mwanaume... Lkn naona ameshindwa kuziuza nyumba... So hata Vick anaweza kubadilisha majina Mali, kumbe sio zake. MUHIMU anaweza kueleza alizipataje?? Vick alichokosea kasubir mpaka likwe kafariki.. na ndoa yake ni batili kwelikweli
Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Ahaaa kumbe.... Mimi nshawahii ambia mtu penye mafanikio ya mwanamk Kuna mwanaume nyuma leo kakubaliiIlikuwa ifungwe kwenye moja ya kanisa Tabata..
Sisi tunachoangqlAkate rufaa atapewa Maokoto unamshauri?
Hapo kwenye ULISI sasa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kama yule alokuwa mke wa mrema
Sijui wanapata wapi ujasiri kulilia Mali za ulisi🤣 zisizowahusu
Chunga tamaa mbaya. Na kwa nini aliwadhurumu watoto wa marehemu na kuwafukuzaAmekuwa mbunge miaka 10 bado anataka kudhulumu mali za watoto wa wanyonge asee
[emoji1787][emoji1787]
Ndoa ilifungwa 2016 wakati mke halali wa ndoa yupo.Mahakama imekosea sana.
Vicki aliolewa kwa utaratibu wa kisheria na akapewa cheti cha ndoa na wala hapakuwa na pingamizi lolote. Mahakama zetu ziwe zinatqfakari kwa umakini kabla ya kuamua.
Viki alikuwa mke halali wa marehemu na anayo haki ya kumrithi mume wake.
Baelezee baelewe 🤣Kosa lake kubwa ni kuhodhi mali zote, akawakataa watoto wale wakubwa, yani alikalia kila kitu kuanzia assetts mpaka pesa za mzee...
Meanwhile Likwelile hawakudivorce na yule mke wa kwanza..
Halafu wewe unaongea ushuzi gani hapa!