Kesi ya Mirathi ya Dkt. Likwelile: Vicky Kamata ashindwa, mahakama yasema ndoa yao haikuwa halali

Kesi ya Mirathi ya Dkt. Likwelile: Vicky Kamata ashindwa, mahakama yasema ndoa yao haikuwa halali

Nina swali moja, kwenye mwenendo wa kesi inasemekana Dr alioa 1986. Ndoa ya kiserikali. Mwaka 94 akasheherekea ndoa ya kikristo. Je unapewa vyeti viwili? Kama cheti cha kwanza ndicho halali je ndoa ya kiserikali ni ya mke mmoja au wake wengi?
 
Nimesoma hukumu. Kuna sehemu imeandika vicky alifoji mukhtasari wa kikao cha familia na kuupeleka mahakamani kuonesha familia imemteua kuwa msimamizi wa mirathi.

Hilo swala la kufoji litambana hata akikata rufaa
Forgery haina excuse, na wakimkazia sana anaweza funguliwa kesi ya Jinai!!
 
Pole sana Vicky Kamata!! Pole nyingi kwa watoto wa marehemu kwa kipindi chote cha kutafuta haki yenu na hongereni kwa ushindi ..Hongera na mahakama kwa maamuzi walitotoa ila Dada Vicky kama bado una ukakasi na kudai kuna mahali zako ulichangia naamini mahakama zetu haziangalii cheti cha ndoa tu kama ushahidi fata sheria upate haki yako ...kama ipo
 
Mimi Kuna rafiki yangu ana mke wa ndoa yupo mwanza. Alikuja Kilimanjaro kikazi akakamatwa na lidada kweli kweli wakafunga ndoa ya bomani lkn yule kaka hakufanya pati Wala nini. Wakajenga majumba na magari ya kifahar. Bahat mbaya yule kaka akafulia yule mwanamke akabdilisha majina ya nyumba chapu akaweka majina yake lakini hizo NYUMA zipo maeneo ambayo hayajarasimishwa, kaenda tu kwa mtendaji akabdilisha majina. Akamfukiza mwanaume... Lkn naona ameshindwa kuziuza nyumba... So hata Vick anaweza kubadilisha majina Mali, kumbe sio zake. MUHIMU anaweza kueleza alizipataje?? Vick alichokosea kasubir mpaka likwe kafariki.. na ndoa yake ni batili kwelikweli

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Pamoja na ubunge wake anakosa pesa za kujenga?
 
Mahakama imekosea sana.
Vicki aliolewa kwa utaratibu wa kisheria na akapewa cheti cha ndoa na wala hapakuwa na pingamizi lolote. Mahakama zetu ziwe zinatqfakari kwa umakini kabla ya kuamua.
Viki alikuwa mke halali wa marehemu na anayo haki ya kumrithi mume wake.
Ndoa ilifungwa 2016 wakati mke halali wa ndoa yupo.
 
Back
Top Bottom