mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Ni endapo itadhihirika kuwa aliwaingilia watoto under 18,
Vinginevyo P Diddy kesi yake ni ndogo sana
Majimbo mengi ya USA yameruhusu ushonga.
Wengi wanaohisiwa kupakwa mafuta ni wababa watu wazima ambao huenda walifurahia tendo na hawakulazimishwa..
Wazungu wanajua kutetea haki za ;
1 mwanamke
2 mtoto
3 mnyama
4 Raia mwanaume
Utetezi huwa na nguvu kwa mtiririko huo
Hapo utaona hawa majamaa waliopakwa mafuta hawana mtetezi,na watu wanachukulia kama comedy tu kuwatania kuwa walipakwa mafuta.
Pata picha orodha ya aliowaingilia ikatolewa mahakamanialafu akafungwa miaka michache,au ikainekana hana hatia
Vinginevyo atakuwa ametuonyesha unafiki wa wazungu katika swala zima la ushoga.
Wazungu hawana akili