Kesi ya P Diddy ni ndogo sana,wazungu hawana tatizo na mapenzi ya jinsia moja

Kesi ya P Diddy ni ndogo sana,wazungu hawana tatizo na mapenzi ya jinsia moja

Lavda useme hauba tatizo jqa sherria zao. Ushoga ni janga la kishetani.

Mwanamne kutatuliwa marinda yote, kubaki kuvuja mavi mpaka kuvaa pampers unasema hakuna tatizo?

. Sijakuelewa unamaanisha nini kwa hiyo "wapo safe"?
Hapa naongelea sheria zao za kijinga,ila kimaadili ba kwa Mungu ni kosa na dhambi kubwa.
Hawa wengine wako safe kesi haiwahusu kama walipakwa mafuta ni makubaliano yao
 
Ni endapo itadhihirika kuwa aliwaingilia watoto under 18,

Vinginevyo P Diddy kesi yake ni ndogo sana

Majimbo mengi ya USA yameruhusu ushonga.

Wengi wanaohisiwa kupakwa mafuta ni wababa watu wazima ambao huenda walifurahia tendo na hawakulazimishwa..

Wazungu wanajua kutetea haki za ;

1 mwanamke
2 mtoto
3 mnyama
4 Raia mwanaume

Utetezi huwa na nguvu kwa mtiririko huo

Hapo utaona hawa majamaa waliopakwa mafuta hawana mtetezi,na watu wanachukulia kama comedy tu kuwatania kuwa walipakwa mafuta.

Pata picha orodha ya aliowaingilia ikatolewa mahakamanialafu akafungwa miaka michache,au ikainekana hana hatia

Vinginevyo atakuwa ametuonyesha unafiki wa wazungu katika swala zima la ushoga.

Wazungu hawana akili
Tatizo ni lugha au nini? Kesi ya Firauni Diddy ni ngumu ,kesi yake ni kubwa kuliko ya Rkelly ,we umeona kanyimwa hadi dhamana? Mzee wa kula viboga kashaingia nyavuni ,anaenda kujoin na Kels Shai Tauni.
 
Ni endapo itadhihirika kuwa aliwaingilia watoto under 18,

Vinginevyo P Diddy kesi yake ni ndogo sana

Majimbo mengi ya USA yameruhusu ushonga.

Wengi wanaohisiwa kupakwa mafuta ni wababa watu wazima ambao huenda walifurahia tendo na hawakulazimishwa..

Wazungu wanajua kutetea haki za ;

1 mwanamke
2 mtoto
3 mnyama
4 Raia mwanaume

Utetezi huwa na nguvu kwa mtiririko huo

Hapo utaona hawa majamaa waliopakwa mafuta hawana mtetezi,na watu wanachukulia kama comedy tu kuwatania kuwa walipakwa mafuta.

Pata picha orodha ya aliowaingilia ikatolewa mahakamanialafu akafungwa miaka michache,au ikainekana hana hatia

Vinginevyo atakuwa ametuonyesha unafiki wa wazungu katika swala zima la ushoga.

Wazungu hawana akili
Nani kakwambia Diddy kashtakiwa kwa ushoga?
 
kesi yake inahusisha human trafficking, kulala na minors hivyo usiseme ni ndogo sana mkuu. hii kesi inaweza kumpoteza aisee kama hata bail yake ya dola milioni 150 alizotaka kuweka wameikataa.
pia nilisikia maisha yake yako mashakani kwa kuwa kuna watu wakubwa ambao wasingpenda watajwe huenda wakampumzisha kama ilivyokuwa kwa jeffrey epstein ambapo kesi yake ingewagusa hata akina bill gates so jamaa ilionekana eti kajinyonga gerezani ila watu wanaamini aliuawa.
Kwa hio Bill gate nae kapakwa mafuta na Didy ? Nimemdikia Cjid anasema Ptinxe Gsry nae kapakwa mafuta na Didy. Siti ni kuvwa sana.
Justin bieber ndio ipo wazi , dogo alipewa Ferali.
 
Tusitumie chaka la u black kutetea maovu ya watu hao. Hao akina tupac inasemekana diddy mwenyewe ndo akawaua kwanza.
Jeffrey Epstein hakuwa black ila naye alikamatwa kwa tuhuma kama za diddy na alikuwa bilionea diddy hata haoni ndani na akauawa kabla ya kesi kwenda mahakamani. wanasema ingeenda mahakamani wanasiasa, akina billgates nao wangetajwa. Moja ya sababu ya mke wa billgates kumuacha gates, ni kuwa gates alikuwa rafiki na anahudhuria party za epsetein akiwemo yule prince wa uingereza.
Utajiri una siri kubwa sana
 
Kwa hio Bill gate nae kapakwa mafuta na Didy ? Nimemdikia Cjid anasema Ptinxe Gsry nae kapakwa mafuta na Didy. Siti ni kuvwa sana.
Justin bieber ndio ipo wazi , dogo alipewa Ferali.
No gates alikuwa rafiki na marehemu Epstein alikuwa akihudhuria party zake za kutembea na minors
 
Back
Top Bottom