ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,040
- 7,303
Mkuu ZeMarcopolo
Hiyo kesi ipo kama unafuatilia vyombo vya habari Kenya tayari jamaa wamefungua kesi Mahakama kuu dhidi ya Safaricom na IEBC wakitaka wapatiwe nyaraka mbali mbali kwaajii ya kufungua kesi Supreme court ambayo ina mamlaka ya kusikiliza kesi ya uchaguzi wa uRais.
Wenzetu Kenya katiba yao ni nzuri sana matokeo ya uRais yanahojiwa si kama Tanzania matokeo ya uRais yakishatangazwa na tume ya uchaguzi hakuna chombo chochote chenye mamlaka ya kuhoji uhalali wake.
Natumaini nitakuwa nimekusaidia.
Lakii katiba ya Kenya si inasema wanatakiwa wawe wameshafungua kesi within seven days tangu matokeo yatangazwe? SIku zinayoyoma hivyo...
Tusali na kuwaombea wakenya.Siku saba hazijaisha bado.
Mkuu ZeMarcopolo
Hiyo kesi ipo kama unafuatilia vyombo vya habari Kenya tayari jamaa wamefungua kesi Mahakama kuu dhidi ya Safaricom na IEBC wakitaka wapatiwe nyaraka mbali mbali kwaajii ya kufungua kesi Supreme court ambayo ina mamlaka ya kusikiliza kesi ya uchaguzi wa uRais.
Wenzetu Kenya katiba yao ni nzuri sana matokeo ya uRais yanahojiwa si kama Tanzania matokeo ya uRais yakishatangazwa na tume ya uchaguzi hakuna chombo chochote chenye mamlaka ya kuhoji uhalali wake.
Natumaini nitakuwa nimekusaidia.
Tusali na kuwaombea wakenya.
Tusali na kuwaombea wakenya.
Nataka nisali na mkeo..
Hapo umechemka, tena sana tu, Katiba yetu sisi ndio nzuri na mfano wa kuigwa, afrika kama sio Duniani, kwa maana tunafanya Uchaguzi, kura zinahesabiwa, na mwishowe Mshindi anapatikana na anatangazwa, baada ya hapo kazi imekwisha, na kila mtu anapaswa kuendelea na Ujenzi wa Taifa!
Mwenye malalamiko, ajipange na asuburi uchaguzi ujao, hatutaki FUJO, sisi kazi tu!
Wadau,
Hii kesi aliyosema atafungua Raila ipo kweli? Nauliza hivi kwa sababu walisema Jumatano ndio itafikishwa mahakamani, lakini mpaka sasa hakuna updates zozote.
Nakumbuka huko Tiized mwaka 2010 mgombe wa opposition naye alisema ana ushahidi wa kuibiwa kura ambao aliahidi kuutoa hadharani lakini habari hiyo ikayeyuka kama barafu jangwani. Later akasema hamtambui Rais, lakini siku chache baadae akaonekana statehouse anakunywa juice na prezzo.
Je, Raila ni kama yule? Kesi lini itafikishwa mahakamani?
Nilisema hapo mwanzo usijezee kikuyu. Kwa chaguzi za siku hizi mwenye hela ndo mshindi. Na kwa waliogombea Uhuru ndo alikuwa na hela kuliko wengine na ndiye alikuwa mshindi. Ni haki yake Riala na Kalonzo kwenda mahakamani lakini sidhani kama atashinda. Uhuru atakuwa na dola nani atayemshinda. Hata usalama wanaweza kufanya mahakama kuu kukosa uhuru wa kuamua.Kwanza mngiki ilishamtishia CJ.
Wadau,
Hii kesi aliyosema atafungua Raila ipo kweli? Nauliza hivi kwa sababu walisema Jumatano ndio itafikishwa mahakamani, lakini mpaka sasa hakuna updates zozote.
Nakumbuka huko Tiized mwaka 2010 mgombe wa opposition naye alisema ana ushahidi wa kuibiwa kura ambao aliahidi kuutoa hadharani lakini habari hiyo ikayeyuka kama barafu jangwani. Later akasema hamtambui Rais, lakini siku chache baadae akaonekana statehouse anakunywa juice na prezzo.
Je, Raila ni kama yule? Kesi lini itafikishwa mahakamani?
2 things are certain;
1. Raila will go to court, or
2. There will be a power sharing agreement with Uhuru..