ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,040
- 7,303
Wadau,
Hii kesi aliyosema atafungua Raila ipo kweli? Nauliza hivi kwa sababu walisema Jumatano ndio itafikishwa mahakamani, lakini mpaka sasa hakuna updates zozote.
Nakumbuka huko Tiized mwaka 2010 mgombe wa opposition naye alisema ana ushahidi wa kuibiwa kura ambao aliahidi kuutoa hadharani lakini habari hiyo ikayeyuka kama barafu jangwani. Later akasema hamtambui Rais, lakini siku chache baadae akaonekana statehouse anakunywa juice na prezzo.
Je, Raila ni kama yule? Kesi lini itafikishwa mahakamani?