Kesi ya Raila Odinga ya Uchaguzi...

Kesi ya Raila Odinga ya Uchaguzi...

ZeMarcopolo

Platinum Member
Joined
May 11, 2008
Posts
14,040
Reaction score
7,303
Wadau,
Hii kesi aliyosema atafungua Raila ipo kweli? Nauliza hivi kwa sababu walisema Jumatano ndio itafikishwa mahakamani, lakini mpaka sasa hakuna updates zozote.

Nakumbuka huko Tiized mwaka 2010 mgombe wa opposition naye alisema ana ushahidi wa kuibiwa kura ambao aliahidi kuutoa hadharani lakini habari hiyo ikayeyuka kama barafu jangwani. Later akasema hamtambui Rais, lakini siku chache baadae akaonekana statehouse anakunywa juice na prezzo.

Je, Raila ni kama yule? Kesi lini itafikishwa mahakamani?
 
Mkuu ZeMarcopolo

Hiyo kesi ipo kama unafuatilia vyombo vya habari Kenya tayari jamaa wamefungua kesi Mahakama kuu dhidi ya Safaricom na IEBC wakitaka wapatiwe nyaraka mbali mbali kwaajii ya kufungua kesi Supreme court ambayo ina mamlaka ya kusikiliza kesi ya uchaguzi wa uRais.

Wenzetu Kenya katiba yao ni nzuri sana matokeo ya uRais yanahojiwa si kama Tanzania matokeo ya uRais yakishatangazwa na tume ya uchaguzi hakuna chombo chochote chenye mamlaka ya kuhoji uhalali wake.

Natumaini nitakuwa nimekusaidia.
 
Last edited by a moderator:

Lakii katiba ya Kenya si inasema wanatakiwa wawe wameshafungua kesi within seven days tangu matokeo yatangazwe? SIku zinayoyoma hivyo...
 
IEBC wamepelkwa supreme court ndo wamekubali kutoa documents zote ambazo CORD walikuwa wanazitaka, baada ya hapo ndio watakwenda mahakamani na ushahidi wao...Kenya bado kugumu kwa suala la ukabila...Kibaki Mkikiyu, Uhuru Mkikuyu, Mkuu wa Majeshi Mkikuyu, Mkurugenzi Mkuuwa NSIS sawa na CIA Mkikuyu, Mkuu wa Utumishi wa Umma sawa na Balozi Ombeni Sefue (Katibu Mkuu Kiongozi) Mkikuyu...kwenye IEBC nako wapo wengi tu, nasikia Mombasa timu ya UHURUTO ilikuwa inagawa rushwa na Chair wa IEBC alihongwa watu ushahidi wanao, Chief Executive wa IEBC nasikia aligoma kupokea rushwa ..bado ni hearsay..tunasubiri malumbano ya kisheria Mahakamani...lets wait!!!
 
Mkuu ZeMarcopolo

Hiyo kesi ipo kama unafuatilia vyombo vya habari Kenya tayari jamaa wamefungua kesi Mahakama kuu dhidi ya Safaricom na IEBC wakitaka wapatiwe nyaraka mbali mbali kwaajii ya kufungua kesi Supreme court ambayo ina mamlaka ya kusikiliza kesi ya uchaguzi wa uRais.

Wenzetu Kenya katiba yao ni nzuri sana matokeo ya uRais yanahojiwa si kama Tanzania matokeo ya uRais yakishatangazwa na tume ya uchaguzi hakuna chombo chochote chenye mamlaka ya kuhoji uhalali wake.

Natumaini nitakuwa nimekusaidia.

Hapo umechemka, tena sana tu, Katiba yetu sisi ndio nzuri na mfano wa kuigwa, afrika kama sio Duniani, kwa maana tunafanya Uchaguzi, kura zinahesabiwa, na mwishowe Mshindi anapatikana na anatangazwa, baada ya hapo kazi imekwisha, na kila mtu anapaswa kuendelea na Ujenzi wa Taifa!

Mwenye malalamiko, ajipange na asuburi uchaguzi ujao, hatutaki FUJO, sisi kazi tu!

Nilisema hapo mwanzo usijezee kikuyu. Kwa chaguzi za siku hizi mwenye hela ndo mshindi. Na kwa waliogombea Uhuru ndo alikuwa na hela kuliko wengine na ndiye alikuwa mshindi. Ni haki yake Riala na Kalonzo kwenda mahakamani lakini sidhani kama atashinda. Uhuru atakuwa na dola nani atayemshinda. Hata usalama wanaweza kufanya mahakama kuu kukosa uhuru wa kuamua.Kwanza mngiki ilishamtishia CJ.
 
On one side ni vizuri kufanya uchaguzi na kukubali matokeo hata kama kuna sparse irregulatïes, lakini on the other side wale wenye mwanya wa kurig election wanaweza kumissuse hiyo.
 
Wadau,
Hii kesi aliyosema atafungua Raila ipo kweli? Nauliza hivi kwa sababu walisema Jumatano ndio itafikishwa mahakamani, lakini mpaka sasa hakuna updates zozote.

Nakumbuka huko Tiized mwaka 2010 mgombe wa opposition naye alisema ana ushahidi wa kuibiwa kura ambao aliahidi kuutoa hadharani lakini habari hiyo ikayeyuka kama barafu jangwani. Later akasema hamtambui Rais, lakini siku chache baadae akaonekana statehouse anakunywa juice na prezzo.

Je, Raila ni kama yule? Kesi lini itafikishwa mahakamani?

2 things are certain;

1. Raila will go to court, or
2. There will be a power sharing agreement with Uhuru..
 
Nilisema hapo mwanzo usijezee kikuyu. Kwa chaguzi za siku hizi mwenye hela ndo mshindi. Na kwa waliogombea Uhuru ndo alikuwa na hela kuliko wengine na ndiye alikuwa mshindi. Ni haki yake Riala na Kalonzo kwenda mahakamani lakini sidhani kama atashinda. Uhuru atakuwa na dola nani atayemshinda. Hata usalama wanaweza kufanya mahakama kuu kukosa uhuru wa kuamua.Kwanza mngiki ilishamtishia CJ.

Uhuru ni mkenya tajiri kuliko wakenya wote.

Kwahiyo Kenya inaongozwa na mtu tajiri kuliko marais wote wa Afrika.

Angola mtu tajiri kuliko wote ni binti wa Rais.
 
Wadau,
Hii kesi aliyosema atafungua Raila ipo kweli? Nauliza hivi kwa sababu walisema Jumatano ndio itafikishwa mahakamani, lakini mpaka sasa hakuna updates zozote.

Nakumbuka huko Tiized mwaka 2010 mgombe wa opposition naye alisema ana ushahidi wa kuibiwa kura ambao aliahidi kuutoa hadharani lakini habari hiyo ikayeyuka kama barafu jangwani. Later akasema hamtambui Rais, lakini siku chache baadae akaonekana statehouse anakunywa juice na prezzo.

Je, Raila ni kama yule? Kesi lini itafikishwa mahakamani?

[h=1]Cord seeks court order on IEBC, Safaricom for evidence[/h]By Nation Reporter
Posted Tuesday, March 12 2013 at 08:52

High Court Judge Isaac Lenaola has certified as urgent a petition by the Coalition for Reforms and Democracy (Cord) that seeks to compel the electoral commission and Safaricom to give it information for its presidential election petition.

Justice Lenaola directed Cord's lawyer Jotham Arua to serve the petition to Safaricom and the Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) before hearing on Wednesday at 8:45am.

A statement released in the morning by the Raila Odinga secretariat had explained that the evidence being sought "will be integral ingredients in the CORD Petition challenging the purported declaration by IEBC of Uhuru Kenyatta as the President elect, which will be filed later this week.

"A Petition will this (Tuesday) morning at 11 am be filed at the High Court sitting at Milimani, Nairobi seeking orders compelling the IEBC and Safaricom Limited to furnish us with relevant documentation related to the recent Presidential Elections," the statement said.

Source:Cord seeks court order on IEBC, Safaricom for evidence - Politics - nation.co.ke
 
2 things are certain;

1. Raila will go to court, or
2. There will be a power sharing agreement with Uhuru..

Uhuru kashamualika kwenye power sharing so its up to Raila.
Mudavadi coalition ya Amani imeshampa go ahead kushiriki kwenye government ya Kenyatta na anaweza kupewa nafasi ya uspika wa Nationa Assembly.
 
mmm! Mbona hapa naona wanapoteza muda na sababu ya kuchelewa kufungua kesi ya uchaguzi wenyewe! Nafikiri hizo nyaraka si zingeombwa na Supreme court kama vinahitajika au ni lazima wao wavitafute? Kama ni vya kutafutwa, wanaukweli gani kwa hayo wanayoyawaza?

Kwa mtizamo wangu naona hapa hakuna kesi bali ilkuwa ni hasira ya kushindwa tu.

Mkuu ZeMarcopolo

Hiyo kesi ipo kama unafuatilia vyombo vya habari Kenya tayari jamaa wamefungua kesi Mahakama kuu dhidi ya Safaricom na IEBC wakitaka wapatiwe nyaraka mbali mbali kwaajii ya kufungua kesi Supreme court ambayo ina mamlaka ya kusikiliza kesi ya uchaguzi wa uRais.

Wenzetu Kenya katiba yao ni nzuri sana matokeo ya uRais yanahojiwa si kama Tanzania matokeo ya uRais yakishatangazwa na tume ya uchaguzi hakuna chombo chochote chenye mamlaka ya kuhoji uhalali wake.

Natumaini nitakuwa nimekusaidia.
 
Hapo umechemka, tena sana tu, Katiba yetu sisi ndio nzuri na mfano wa kuigwa, afrika kama sio Duniani, kwa maana tunafanya Uchaguzi, kura zinahesabiwa, na mwishowe Mshindi anapatikana na anatangazwa, baada ya hapo kazi imekwisha, na kila mtu anapaswa kuendelea na Ujenzi wa Taifa!

Mwenye malalamiko, ajipange na asuburi uchaguzi ujao, hatutaki FUJO, sisi kazi tu!

hamtaki fujo kwa vile mnapenda ujinga.
 
Back
Top Bottom