Kesi ya Tundu Lissu yapata nafasi Al-Jazeera

Amka na BBC leo asubuhi hawajazungumzia kabisa.
 
Aidha kwa kujua ama kwa upumbavu wao, wanampaisha kwa nguvu kubwa sana.
Mimi nadhani Rais anahujumiwa kiaina,na sidhani kama anafurahia haya yanayoendelea dhidi ya CHADEMA,bila shaka wasiomtaka zaidi ni hao hao CCM wenzake wakaamua kumtengenezea mazingira magumu asipenye mwaka huu.
 
Asingekuwa anafurahia angezuia haya kutendeka
Kwa kuwa ameyaacha basi naye yupo kundi moja na hao wanyang'anyi.
 
Mimi nadhani Rais anahujumiwa kiaina,na sidhani kama anafurahia haya yanayoendelea dhidi ya CHADEMA,bila shaka wasiomtaka zaidi ni hao hao CCM wenzake wakaamua kumtengenezea mazingira magumu asipenye mwaka huu.
Anayo mamlaka ya kukomesha yanayoendelea.
 
Kwani akishindwa inakuuma nini wewe, ni bibi yako yule?
 
Kuna Kundi kubwa la Wana CCM hawafurahishwi na Mama na ndio wana mfanyie Surbonination ili itokee Mkwamo, Miaka Mingi hatujawahi Kuona Chaos kama izi mahakamani leo iweje watu wapigwe kiasi kile?
Kuna advisors wake wanataka Mama Akawmwe
 
Hapo ameongelea TL Vs SSH ,na si TL Vs SSH ft dora
 
Kuna Kundi kubwa la Wana CCM hawafurahishwi na Mama na ndio wana mfanyie Surbonination ili itokee Mkwamo, Miaka Mingi hatujawahi Kuona Chaos kama izi mahakamani leo iweje watu wapigwe kiasi kile?
Kuna advisors wake wanataka Mama Akawmwe
Mtu akikupa ushauri wa kijinga na wewe ukaupokea ,atakudharu sana ,by Jk Nyerere
 
Mchane hapahapa kwa kiswahili ili aelewe, sasa huko HARDtalk hadi atafsiriwe!.
Unamchelewesha.
 
Ni correspondent wa Kenya, ndyo amepeleka story ili apate mkate
 
Mimi nadhani Rais anahujumiwa kiaina,na sidhani kama anafurahia haya yanayoendelea dhidi ya CHADEMA,bila shaka wasiomtaka zaidi ni hao hao CCM wenzake wakaamua kumtengenezea mazingira magumu asipenye mwaka huu.
Rungu analo yeye ,kivipi ashindwe kulitumia kusawazisha mambo? huo ni mkakati wake yeye mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…