GE2025 Kesi ya uhaini inayomkabili Lissu yaahirishwa hadi Julai 15 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hii "kuchukua nchi" unamaanisha nini mkuu
 

Mwanzoni uliona NRNE ni UTOPIA.
Wakati hukufanya tathmini ya kutosha ya uwezo wa upande wa pili kuiishi hali husika/wanachukuliaje/act vipi kwa manufaa yao na taifa.

Hakuna kisichowezekana kama dunia inaendelea kuzunguka na kama unaamini katika mageuzi mara zote hayaji bila presha dhidi ya watawala.
Na kila unapotawala, fahamu pia unatawaliwa.

Kuna vitu vingi vya kujifunza kwa pande zote kwa tunayoyapitia na tunakoelekea. Hata yatakayofanyika yoyote hakuna ambaye angeona nia ya hayo kama vyama vyote wangesema twende ili tupate hisani ya majimbo.

Watawala waheshimu kura za wananchi ili wapate ridhaa zao na hiyo ni matokeo ya wanayowatendea wananchi. Mda wa kuishi kwa propaganda za amani bila haki hazipo, upeo wa watu umebadilika na vizazi vinabadilika.

Viongozi wafahamu waajiri wao na wawatendee kwa kadri ya hali halisi na si ulaghai. La sivyo uchaguzi utageuka kipindi kigumu cha kulia na kusaga meno kila mara.

Meli inazama kwa sababu wame-enjoy free holiday ya kuchaguana kirafiki na kifamilia kwa mjibu wa kiafrika. Watu hawaandaliwi kwa maeneo husika wanayoyahitaji. Holela holela mnajikuta mwendeshaa meli alisomea kuendesha ndege LAZIMA MTAZAMA TU hata kama mnajua kuogelea kwani mtaenda kuzama kwenye kina kirefu. Sifa za kujichimbia kwenye mihimili hazisaiddii it's a matter of time.

Sababu ya kuimarika himaya moja hutokana na makosa ya kushindwa kjimudu kwa himaya inayoanguka na ni mpaka ijitambue na kujisahihisha ndo itanusurika. La sivyo itapotea na kubaki historia. Time will tell, hata kama hatutakuwepo.
 
Tunaomba mrejesho, mimi nilikuwa ninafuatilia live ITV ila wamekata matangazo
 
Kwani live imekubwa na nini? Mbona hatuoni kinachoendelea? Mliopo hapo mahakamani tunaomba mrejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…