PreGE2025 Kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu yaahirishwa hadi Juni 16

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Namba za wafuatiliaji wa hii KESI online kupitia Youtube ZINATISHA.

MAHAKAMA: 15K viewers

Mwanzo TV : 1.4K viewers

Mwananchi Digital: 1K viewers

millard Ayo : 17K viewers

Jambo TV : 670 viewers

Zamaradi TV: 630 viewers

#FreeTunduLissuNow
 
Hizi statistics wala msingeziweka hadharani.
Katika nchi yenye raia zaidi ya milioni 60, mlipaswa kuwa na viewers sio chini ya 100,000 katika channel moja. Hao ukijumlisha wote hawafiki hata 50000.

Amandla...
 
Makange na Baghdellah walifungwa miezi 6 kila mmoja. Nyerere alitaka kugoma kulipa fine lakini John Rupia na wenzake wakamlipia.

Amandla...
 
Makange na Baghdellah walifungwa miezi 6 kila mmoja. Nyerere alitaka kugoma kulipa fine lakini John Rupia na wenzake wakamlipia.

Amandla...

..uvCcm hata hawajui taarifa hizo.

..ndio maana Lissu huwafundisha hata historia yao.

..nina hakika hata Mama Abduli hana uelewa wa wapi taifa letu limetoka kijamii, kiuchumi, kisiasa, na kikatiba, ukimlinganisha na wapinzani kama Lissu, Othman Masoud, Prof.Lipumba, Freeman Mbowe, Ismael Jussa, na wengine.
 
Hizi statistics wala msingeziweka hadharani.
Katika nchi yenye raia zaidi ya milioni 60, mlipaswa kuwa na viewers sio chini ya 100,000 katika channel moja. Hao ukijumlisha wote hawafiki hata 50000.

Amandla...
Unasikitisha sana, hata kukomalia jambo kama hili.
Unasemaje kuhusu mikutano yao huko mikoani; haikupi fikra zozote kuhusu hali ilivyo?

Labda nikuulize tu kuhusu zile chopa za CHAUMA zimefikia wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…