Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 6,978
- 12,641
Ataachiliwa huru,kwani mboga mboga wana jipya basi au wanawayawaya tu,maji yameshazidi unga
Hutaki unaachaWakati mwingine mbwembwe zikizidi unakuwa kama kichaa, Kariakoo hiyohiyo jana amekamatwa Heche watu wanaangalia tu akitetewa na wamama wawili tu. Kariakoo hiyohiyo leo hoteli zote zimejaa waliokuja kwenye kesi ya Lissu. Sisapoti yanayoendelea ila Chadema mna mbwembwe nyingi kinyume na uhalisia.
Muongoze gongo la kichwa bado anahema....Wakati mwingine mbwembwe zikizidi unakuwa kama kichaa, Kariakoo hiyohiyo jana amekamatwa Heche watu wanaangalia tu akitetewa na wamama wawili tu. Kariakoo hiyohiyo leo hoteli zote zimejaa waliokuja kwenye kesi ya Lissu. Sisapoti yanayoendelea ila Chadema mna mbwembwe nyingi kinyume na uhalisia.
Hamuwezi kushindana na PhD za kweli za Chadema, kule hakuna anaeandikiwa thesisHamna hao watu na wala usijidanganye kama alichukuliwa kweupe mbele ya sosopi na mwingine akatembezwa na kutelekezwa mbele ya makamanda kariakoo jua hizo zako ni ngonjera...
Huyu ni mpuuzi sana! Kariakoo hamna hotel? Jinga kabisa!ziko zaidi ya 100
Chadema zake zinaandikwa toka Nairobi banda la uwani...Hamuwezi kushindana na PhD za kweli za Chadema, kule hakuna anaeandikiwa thesis
Hiyo inahusiana nini na kesi?Hamna hao watu na wala usijidanganye kama alichukuliwa kweupe mbele ya sosopi na mwingine akatembezwa na kutelekezwa mbele ya makamanda kariakoo jua hizo zako ni ngonjera...
Kwaiyo kajaza hotel? 😄Lissu ni mpango wa Mungu.
YesVijana wengine wamehifadhiwa majumbani mwa wasamaria wema . Hao wa ma Guest House ni sehemu tu ya idadi kamili.
Tamasha la majahazi!Hiyo inahusiana nini na kesi?
Mwenyekiti wa kizmkazi nae veepeeMwenyezi-Mungu ambariki Tundu Lissu.
Mwenyezi-Mungu ambariki John Heche.
Mwenyezi-Mungu aibariki Chadema.
kumalizia alipobakiza ukosahihiNaamini TAL mwisho wa siku atakutwa Hana hatia na atarudi kuendeleza mapambano
Kwa hakikaLissu ni mpango wa Mungu.
Tunaanzia pale tulipoishia.Naamini TAL mwisho wa siku atakutwa Hana hatia na atarudi kuendeleza mapambano
Kuna ubaya gani ukisikia kuwa Hoteli zote za Ilala na kwengineko ziko Booked na Wageni mbali mbali waliokuja kusikiliza kesi ya mchongo aliyobambikiwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Tundu Antipas Lissu?Kwaiyo kajaza hotel? 😄
Cdm sometime ndio nashindwa kuwaelewa hapo tu.
Roho imemuuma kusikia hivyoKuna ubaya gani ukisikia kuwa Hoteli zote za Ilala na kwengineko ziko Booked na Wageni mbali mbali waliokuja kusikiliza kesi ya mchongo aliyobambikiwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Tundu Antipas Lissu?
misasa wewe ni Mzee wa busara humu kwenye hili kokolo la JF simama upande wa HAKI.
Sisiem mpango wa shetani.Lissu ni mpango wa Mungu.
Hapo umemaamisha nini mwana habari mwenzangu🤔Safi sana, mzanzibar lazima Apigwe nje ndani,
Kwa hiyo wanaongeza mzpato ya TRA.Wafanye hivyo kila mara.Ili.kuwe na mzunguko wa pesaNikiwa Chamazi Wafanyabiashara wenzangu kutoka DRC wamenipigia simu wakiomba niwasaidie kupata Hotel ya kujihifadhi, Wamelalamika kwamba Hotel zote za Kariakoo zimejaa, na kwamba kuna Wageni wengi mno bado wanatafuta Hotel.
Imebidi niwatafutie Hotel Magomeni, ndio wanaelekea hivi sasa.
Bali Taarifa zingine zimedokeza kwamba Mfumuko wa Wageni hapo Kariakoo unatokana na watu wengi kutoka mikoani kuja kwa Wingi kwa lengo la kufuatilia Kesi ya Uhaini wa Tundu Lissu ambayo Hukumu yake ni Kunyongwa hadi kufa
MApato ya TRA yanaongezeka.Na mzunguko wa pesa unaongezeka.CCM ni mpango wa Mungu.Wanaingiza mzunguko wa pesa mitaaniSisiem mpango wa shetani.