Kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu yasababisha Uhaba wa vyumba Kariakoo, Mahoteli yote yajaa

Taarifa mpya zinasema kwamba kumbe karibu kila Mkoa umekodi magari ili wanachama waweze kuhudhuria kesi hii, Hii ni Hatari! halafu wameingia bila mbwembwe
Naona mkuu wa mkoa ameanza kutisha watu, wakati watu wamekuja Kwa amani kushuhudia kesi ya kiongozi wao na kuona haki ikitendeka na hatimaye arudi katika harakati za kulikomboa taifa na wakoloni weusi
 
Nikiwa Chamazi Wafanyabiashara wenzangu kutoka DRC wamenipigia simu wakiomba niwasaidie kupata Hotel ya kujihifadhi, Wamelalamika kwamba Hotel zote za Kariakoo zimejaa, na kwamba kuna Wageni wengi mno bado wanatafuta Hotel.

Imebidi niwatafutie Hotel Magomeni, ndio wanaelekea hivi sasa.

Bali Taarifa zingine zimedokeza kwamba Mfumuko wa Wageni hapo Kariakoo unatokana na watu wengi kutoka mikoani kuja kwa Wingi kwa lengo la kufuatilia Kesi ya Uhaini wa Tundu Lissu ambayo Hukumu yake ni Kunyongwa hadi kufa
Sawa wanamapinduzi mnaolala gesti na hosteli. Ila Mandela mnayejilinganisha naye alikuwa analala msituni!
 
WATANGANYIKA LISU NI MPANGO WA MUNGU.
RISASI ZOTE ZILE NA AKAAMKA ALIYEMPIGA RISASI AMETANGULIA MBELE YA HAKI

MSIKILIZENI HUYO MTU AMETUMWA KUJA KUWAKOMBOA.

AMKENI USINGIZINI.
 
Kwa vyovyote vile...hata mkimleta Mungu wenu.

Mtashindwa tu.

Muliro yupo sawa. Kuna umuhimu wa ku beef up security, mahakamani na mitaa inayoizunguka mahakama ili kulinda mali za Watanzania ambazo zinaweza kuja kuharibiwa na hawa wahaini wanaotaka kufanya Fujo mahakamani na hatimae nchini.

Ukisoma bandiko hili popote ulipo, tambua Magaidi, Mamluki na vibaraka na mawakala wa CHADEMA wana mipango ya kuchafua hali ya Amani na Utulivu na hatimae kuhujumu Uchumi wa nchi.

☝🏿nina ushahidi wa hilo wa sauti zilizonaswa wakati wa maandamano yao, kipindi cha nyuma.

...hatahivyo hizi senshenaizesheni huwa zinaishia kuwa hivyo tu.
 
Kuna katili kumshinda Mahita Nchi hii, ushaona hali yake ilivyo kwa sasa?
 
WATANGANYIKA LISU NI MPANGO WA MUNGU.
RISASI ZOTE ZILE NA AKAAMKA ALIYEMPIGA RISASI AMETANGULIA MBELE YA HAKI

MSIKILIZENI HUYO MTU AMETUMWA KUJA KUWAKOMBOA.

AMKENI USINGIZINI.
Risasi gani zile za BB gun?

Lissu sio mpango wa Mungu ni laana ya Mungu.
 
Kuna katili kumshinda Mahita Nchi hii, ushaona hali yake ilivyo kwa sasa?
Kwa mantiki hiyo Unasema ni mungu ndiye amemfanya Laigwanaan Tundu ateseke na PTSD?
Kwamba, hii ndio "poetic justice" ?

sasa haya machungu ya Lissu na hasira na choices anazotumia kutokana na PTSD ni "Poetic Justice"?

...ya nani?

Mmemtoa kafara huyu nyie Magaidi na mamluki wa nje. Anateseka kwa sababu zenu. Na usisahau ulivyokuwa ukimwandika humu ati ni "Kivutio" chenu, itoshe kusema Wewe binafsi haukuwa tayari kwa Laigwanaan kushika wadhifa aliokuwa nao.

...suffice to say
Unastaajabisha kwa Umalaya wako wa kisiasa.

Mahita sio mtu anayetuhumiwa na Uhaini, ni Tundu.

Tundu Lissu ndiye aliepo kwenye mada. Stop deflecting
 
Nikiwa Chamazi Wafanyabiashara wenzangu kutoka DRC wamenipigia simu wakiomba niwasaidie kupata Hotel ya kujihifadhi, Wamelalamika kwamba Hotel zote za Kariakoo zimejaa, na kwamba kuna Wageni wengi mno bado wanatafuta Hotel.

Imebidi niwatafutie Hotel Magomeni, ndio wanaelekea hivi sasa.

Bali Taarifa zingine zimedokeza kwamba Mfumuko wa Wageni hapo Kariakoo unatokana na watu wengi kutoka mikoani kuja kwa Wingi kwa lengo la kufuatilia Kesi ya Uhaini wa Tundu Lissu ambayo Hukumu yake ni Kunyongwa hadi kufa
Pigo lingine kisaikolojia kwa Polisi
 
Demokrasia ya Tanzania inaonekana ni kama danganya toto , maana kitu kidogo kutoka upande wa upizani kinatengenezewa zengwe kionekane ni kibaya.
 
Nikiwa Chamazi Wafanyabiashara wenzangu kutoka DRC wamenipigia simu wakiomba niwasaidie kupata Hotel ya kujihifadhi, Wamelalamika kwamba Hotel zote za Kariakoo zimejaa, na kwamba kuna Wageni wengi mno bado wanatafuta Hotel.

Imebidi niwatafutie Hotel Magomeni, ndio wanaelekea hivi sasa.

Bali Taarifa zingine zimedokeza kwamba Mfumuko wa Wageni hapo Kariakoo unatokana na watu wengi kutoka mikoani kuja kwa Wingi kwa lengo la kufuatilia Kesi ya Uhaini wa Tundu Lissu ambayo Hukumu yake ni Kunyongwa hadi kufa
Tumshukuru mheshimiwa na muabudiwa rais doktari SSH kwa hili. Haya ndiyo maono anayobeba kkkkkk!
 
Nikiwa Chamazi Wafanyabiashara wenzangu kutoka DRC wamenipigia simu wakiomba niwasaidie kupata Hotel ya kujihifadhi, Wamelalamika kwamba Hotel zote za Kariakoo zimejaa, na kwamba kuna Wageni wengi mno bado wanatafuta Hotel.

Imebidi niwatafutie Hotel Magomeni, ndio wanaelekea hivi sasa.

Bali Taarifa zingine zimedokeza kwamba Mfumuko wa Wageni hapo Kariakoo unatokana na watu wengi kutoka mikoani kuja kwa Wingi kwa lengo la kufuatilia Kesi ya Uhaini wa Tundu Lissu ambayo Hukumu yake ni Kunyongwa hadi kufa
Kiongozi, ukipata nafasi ya kuhudhuria tujuze kama ambavyo pia umekuwa ukifanya kwa baadhi ya kesi, au siyo? Mimi sitaweza kuhudhuria, ingawa kama ningekuwa mjini huenda ningekuwa mmoja wapo wa "never miss".
 
Usiondoke JF
 
Nikiwa Chamazi Wafanyabiashara wenzangu kutoka DRC wamenipigia simu wakiomba niwasaidie kupata Hotel ya kujihifadhi, Wamelalamika kwamba Hotel zote za Kariakoo zimejaa, na kwamba kuna Wageni wengi mno bado wanatafuta Hotel.

Imebidi niwatafutie Hotel Magomeni, ndio wanaelekea hivi sasa.

Bali Taarifa zingine zimedokeza kwamba Mfumuko wa Wageni hapo Kariakoo unatokana na watu wengi kutoka mikoani kuja kwa Wingi kwa lengo la kufuatilia Kesi ya Uhaini wa Tundu Lissu ambayo Hukumu yake ni Kunyongwa hadi kufa
Dah Ila ww jamaa bhana 🙌

Hiki kitengo cha uenezi unakipatia sana mkuu 😂 uongo kibao
 
Wakati mwingine mbwembwe zikizidi unakuwa kama kichaa, Kariakoo hiyohiyo jana amekamatwa Heche watu wanaangalia tu akitetewa na wamama wawili tu. Kariakoo hiyohiyo leo hoteli zote zimejaa waliokuja kwenye kesi ya Lissu. Sisapoti yanayoendelea ila Chadema mna mbwembwe nyingi kinyume na uhalisia.
Kwani haiwezekani
 
Back
Top Bottom