Kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu yasababisha Uhaba wa vyumba Kariakoo, Mahoteli yote yajaa

Kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu yasababisha Uhaba wa vyumba Kariakoo, Mahoteli yote yajaa

Wakati mwingine mbwembwe zikizidi unakuwa kama kichaa, Kariakoo hiyohiyo jana amekamatwa Heche watu wanaangalia tu akitetewa na wamama wawili tu. Kariakoo hiyohiyo leo hoteli zote zimejaa waliokuja kwenye kesi ya Lissu. Sisapoti yanayoendelea ila Chadema mna mbwembwe nyingi kinyume na uhalisia.
Mleta mada namuonaga kama nati zimeachia[emoji23][emoji23] ... eti hotel zimejaa
 
Ndio upuuzi mliotumwa na kiongozi mkuu wa chama toka nairobi...yale mabasi 100 toka mikoani tarehe 23/9/2024 pia yaliripotiwa kama hivyo hatukuona mtu zaidi ya Mbowe.Mkewe na mwanawe....
Hawana uwezo wa mabasi 100, hizo ni sifa ambazo hazipo.
 
Nikiwa Chamazi Wafanyabiashara wenzangu kutoka DRC wamenipigia simu wakiomba niwasaidie kupata Hotel ya kujihifadhi, Wamelalamika kwamba Hotel zote za Kariakoo zimejaa, na kwamba kuna Wageni wengi mno bado wanatafuta Hotel.

Imebidi niwatafutie Hotel Magomeni, ndio wanaelekea hivi sasa.

Bali Taarifa zingine zimedokeza kwamba Mfumuko wa Wageni hapo Kariakoo unatokana na watu wengi kutoka mikoani kuja kwa Wingi kwa lengo la kufuatilia Kesi ya Uhaini wa Tundu Lissu ambayo Hukumu yake ni Kunyongwa hadi kufa
Machawa mnapambana
 
MApato ya TRA yanaongezeka.Na mzunguko wa pesa unaongezeka.CCM ni mpango wa Mungu.Wanaingiza mzunguko wa pesa mitaani
Sorry last i check wigo wa walipa kodi unapungua, only 2m ndio walipa kodi, 60m wote wanaruka ruka( it not fair)

Shilling kuzidi kuporomoka kwa kasi kubwa, hatua gani zimechukuliwa kudhibiti?
 
Mwenyezi-Mungu ambariki Tundu Lissu.
Mwenyezi-Mungu ambariki John Heche.
Mwenyezi-Mungu aibariki Chadema.


Bwana Mungu wetu, Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo, Mungu uliyefunuliwa kwetu na mwanao wa pekee, Yesu Kristu Bwana na mwokozi wetu, tunakuomba, umbariki kwa namna ya prkee ndugu yetu huyu Tundu Lisu mwenye ujasiri wa pekee, upendo wa ajabu kwa watanzania wenzake kiasi cha kujitolea kuteseka kwaajiki ya kuwasemea wanaodhulumiwa haki zao. Kwa upande mwingine, kama ulivyotenda dhidi ya farao aliyekuwa na nguvu zote za kijeshi, tunaomba ukawashushe na kuwakalisha chini wale wote walio kinyume na haki, na wanaopanga uovu dhidi ya wanaoipigania haki. Tunaomba ukuu wako ukapate kuonekana katika kumlinda na kumwongoza huyu mtumishi wako uliyemlinda dhidi ya risasi zaidi ya thelathini kutoka kwa watesi wake.
 
zelensky, trump kamwambia ampe madini ya chuma na makaa ya mawe vinginevyo atamwacha putin ammalize ndani ya saa moja, nyie hao wazungu mumewaahidi madini gani ili wawatetee? mzungu hafanyaji kazi ya bure
Kwamba miezi yote hiyo ambayo Trump hakuwa Rais Huyo Puttin alikuwa wapi kummaliza Zelensky? Wadanganye wajinga wenzio
 
zelensky, trump kamwambia ampe madini ya chuma na makaa ya mawe vinginevyo atamwacha putin ammalize ndani ya saa moja, nyie hao wazungu mumewaahidi madini gani ili wawatetee? mzungu hafanyaji kazi ya bure
Wapi nimeongelea madini ya Wazungu?
 
Back
Top Bottom