G
guest-1790917349
Guest
Lazima niwepoVipi bibi utakuwepo mahakamani? Mie nitakuwepo pia.
Sina chama ila Kwa lissu no way
Lazima niwepoVipi bibi utakuwepo mahakamani? Mie nitakuwepo pia.
We dada mumeo kazi anayo, si kwa uongo huu. Asikuamini asilani hata kama unasema unaenda chooni!!Nikiwa Chamazi Wafanyabiashara wenzangu kutoka DRC wamenipigia simu wakiomba niwasaidie kupata Hotel ya kujihifadhi, Wamelalamika kwamba Hotel zote za Kariakoo zimejaa, na kwamba kuna Wageni wengi mno bado wanatafuta Hotel.
Imebidi niwatafutie Hotel Magomeni, ndio wanaelekea hivi sasa.
Bali Taarifa zingine zimedokeza kwamba Mfumuko wa Wageni hapo Kariakoo unatokana na watu wengi kutoka mikoani kuja kwa Wingi kwa lengo la kufuatilia Kesi ya Uhaini wa Tundu Lissu ambayo Hukumu yake ni Kunyongwa hadi kufa
Kwakweli uko sahihi, chadema wa jf wamewehuka......anajitahidi kudanganya maskini ya Mungu Huku tafadhali zingine zote anasahau kuzichukua; mfano hapa sijui alikuwa hajui kuwa wanaJF wengine hapa kariakoo wapo muda wote.Wakati mwingine mbwembwe zikizidi unakuwa kama kichaa, Kariakoo hiyohiyo jana amekamatwa Heche watu wanaangalia tu akitetewa na wamama wawili tu. Kariakoo hiyohiyo leo hoteli zote zimejaa waliokuja kwenye kesi ya Lissu. Sisapoti yanayoendelea ila Chadema mna mbwembwe nyingi kinyume na uhalisia.
Ngonjera ngonjeraHamna hao watu na wala usijidanganye kama alichukuliwa kweupe mbele ya sosopi na mwingine akatembezwa na kutelekezwa mbele ya makamanda kariakoo jua hizo zako ni ngonjera...
Hakika kabisaa,Lazima niwepo
Sina chama ila Kwa lissu no way
UrongoNikiwa Chamazi Wafanyabiashara wenzangu kutoka DRC wamenipigia simu wakiomba niwasaidie kupata Hotel ya kujihifadhi, Wamelalamika kwamba Hotel zote za Kariakoo zimejaa, na kwamba kuna Wageni wengi mno bado wanatafuta Hotel.
Imebidi niwatafutie Hotel Magomeni, ndio wanaelekea hivi sasa.
Bali Taarifa zingine zimedokeza kwamba Mfumuko wa Wageni hapo Kariakoo unatokana na watu wengi kutoka mikoani kuja kwa Wingi kwa lengo la kufuatilia Kesi ya Uhaini wa Tundu Lissu ambayo Hukumu yake ni Kunyongwa hadi kufa
.Mungu atatenda haki hata kama siyo leo wala kesho.