Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Labda hufuatilii hiyo kesi.Hayo unayoyasema hatujayasikia mahakamani
Labda hufuatilii hiyo kesi.Hayo unayoyasema hatujayasikia mahakamani
John Mnyika anakijua Chama kwa undani na amekuwa na uzoefu mkubwa kwenye operation za Chama na ni mtu mwenye uwadilifu usio tia shaka nafikiri ndio sababu ya kupewa hiyo nafasiGolugwa ana akili kuliko mnyika, sijui ilikuwaje yule form six akawa katibu mkuu halafu Golugwa chuma kikawa naibu!!