Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu amefanya majumuisho ya mwisho Mahakamani 23/9/2026

Kesi kama hii inayomkabili Lissu haikuwa kutokea huko nyuma, na hakuna kesi inafanana nayo...

Kwa sababu kwa sheria za Tanzania ni lazima kufuata maamuzi ya kesi za nyuma(mahakama kuu) endapo mazingira yana fanana... lakini pia sheria inaruhusu ku set new precedent.. kama mazingira ya kesi na facts ni tofauti na kesi za nyuma...

Kwa jinsi Lissu alivyoingia na mbinu ya ku distinguish inabidi judges wa set new precedent... na wakifanya hivyo huko mbele hayo maamuzi yatatumika kwenye kesi zingine...


Yote na yote kesi ni ya mchongo.. Lissu hana kosa lolote..
 
Lisu ni mhaini
 

Attachments

  • 6395324-59f506ba42728e91ea3a33609b306fd5.mp4
    1.5 MB
"Waheshimiwa Majaji you are decision......" majaji your decision sounds better.
 
Lisu ni mhaini

Uyu mwamba kifungo kakitafuta mwenyewe
Pengine kataka kufanana na Nelson Mandela
MAJAJI wamsaidie tu kumfunga ili ndoto yake itimie

Nayeye afanane na
Nelson Mandela
Uwezi kufanana na Bob Marley
Kama ujafuga Rasta

Na huwezi kufanana na Nelson Mandela
Kama ujafungwa japo miaka 20+

MAJAJI wetu wayazingatie matakwa yake mh Lissu
siku ya Hukumu ✍️
 
Ukiwa na akili kama za lissu kwa sheria zetu na waendesha mashataka kuanzia police, Dpp, wanasheria wa serikali. Itakuwa ngumu kufungwa.


Watu wengi wanafungwa kwa kutoijua sheria. Ukiwa na wakili kama lissu chap mapema sana anatoka

Sawa lkn
Kumbuka mh Lissu yupo Lupango sasa mwaka na nusu🫎🫎🫎✍️
 
Kwa namna huyu mshikqji anavyoshusha nondo sizani kama watamfunga!

Kama Mchungaji Mtikila akifungwa Tanzania hii
Uyo lissu nani asifungwe 🫎❗️

Muwe tayali tu kupokea kifungo
Watanzania walikuwa tayali kumuona Mchungaji Mtikila akifungwa kipindi cha rip Benjamin William Mkapa ✍️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…