Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu kuendelea na maswali ya dodoso Mahakamani leo Agosti 28, 2026

Kisheria hukamatwi kwa kosa ambalo wakati unakamatwa hukulitenda.

🫎🫎🫎🫎🫎 Sheria ya wapi
Wewe utakamatwa kwa kosa la kuwauwa Wananchi
Sababu niwewe ndio chanzo cha ule MOTO βœ…οΈ

KWASASA Lissu kikubwa anachofanya pale Mahakamani ni kukaa kukaa kuwasha πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯ na upande wa Jamhuri Unapambana kuonesha niyeye ndio chanzo cha MOTO wa Mo29 ✍️
 
Hakuna kitu kama hicho. Kama ni hivyo hata yule aliyesema hakutakuwa na nywinywi wala nywinywi alkamatwe maana naye amechochea hasira za watu.

Kivipi yeye katutoa Shaka tu sisi Wananchi

Wkt uyo Tundu Mwenye risasi mwilini katuwashia MOTO Wananchi πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯ tumezikana wa kutosha✍️
 
Lissu mjanja anamlinda shahidi wake na kunyonga upande wa pili, mpaka hapa amefaulu na shahidi ametulia, hana wenge.

Wenge hapewi na Lissu

ngoja kesho John Mnyika majina yake kama
Ajayasahau nyumbani

Na miaka yake 🀠✍️

Kesho ndio kesho John Mnyika kaingia kwenye Mfumo ✍️
 
Nilijua tu Ajuaye Zengeli alkiendelea na maswali atabagzwa walete masuala ya jinsia kama Katuga mwenyewe aliwaambiwa nilikuambia usiwe mjinga, Mrema akaambiwa nimekuambia kwenye kesi unadhani ni kwenye kesi ya bibi yako? Bora Ajuaje amekimbia
 
Na police wakatekeleza kile samia alichowatuma?
 
Hebu sema mkiweka vikao vyenu vya ndani huko ccm mnakuwa na wanahabari?
 
 

Attachments

  • 1000024076.jpg
    45.1 KB · Views: 5
Wenge hapewi na Lissu

ngoja kesho John Mnyika majina yake kama
Ajayasahau nyumbani

Na miaka yake 🀠✍️

Kesho ndio kesho John Mnyika kaingia kwenye Mfumo ✍️
Sio kesho mkuu ni jumatatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…