Serikali inataka watu wote tuwe focused na watu wa aina hiyo ili wao waendelee kuiba na kula mali za umma.Sisi huku akina dotto magari ndio wanaonekana wa maana. Nchi ya ajabu sana.
Lissu amemthibiti Katuga. Hasa kwenye kukamatwa kinyume na Sheria, tafsiri ya kauli yake, publication na ushahidi wa videomkuu atafanyaje alisha kula doano
ila ukweli anaujua kwa TL hana ujanja
Badala ya kumwita Heche Lissu si angekuwa tu anamwita Shemeji Heche 🫎🫎 au nasema uwongo ndugu zangu✍️
Acha kupotosha watu kwa hisia zako za kindezi ndugu mtanzaniaLeo ndio nimegundua Tlaahtlaa, mdogooe na Kerato Momba ni mtu Mmoja.
Hii ndio shida. Wewe baadala ya kuangalia ushahidi wa serikali kwenye uhaini wewe unasubiria majaji wa kupigiwa simu.Hayo ni maneno ya kujifariji...subiri mahakama ifanye kazi yake!
Achana na hao watu Mkuu pata shule ya bure ya sheriaLeo ndio nimegundua Tlaahtlaa, mdogooe na Kerato Momba ni mtu Mmoja.
Mimi hata hizi elimu zingine mimi siziaminii kama hazina mchango kwenye upembuzi wa mambo makubwa yenye kubeba maslahi ya wengi.sasa mkuu kiongozi la 3 b ataipenda akili kubwa kama hii
shabiki wa kiongozi ni chawa anasifia alipwe buku 2-3 ataipenda akili hii
yaani ukiwa ujasoma unakuwa na chuki na walio soma kama kwamba wao ndio walikuzuia usisome ama usiwe na akili
Kweli kabisa mkuuNaamini mshahara wa mwezi huu atauchukia akiwa amehenyeka *******.
Huu ndio aina ya mshahara ambao mtu akiomba umkope unamuona mdwanzi asiye na haya.
Kwa mara ya kwanza kwenye kesi hii nikimuona Katuga anaomba hairisho naweza nikamuelewa.
This guy's been going through some real shit, man. He just needs a few days to cool his ass down.
I can't imagine putting myself in his position, this could be the toughest job in the World.
Nikuulize mpaka hapo Kuna uhaini? Mimi naona maswali ya Interview pekee. Issue ni je maneno yake Yana Nia ya uhaini? Ndioa mahakama ilisema inataka kuthibitisha.Usiwafurahishe watu
Angalia #276 hapo, lissu anaingiamo mzima mzima...
lissu anajua sheria lakini si mjanja kuliko wengne, angalia anavyojibu kwa kutia huruma...
Mkuu huruma sio malezi.Achana na hao watu Mkuu pata shule ya bure ya sheria
Nipo hai 😅😅PW17 bado uko hai?
Waliotaka ukatoe ushahidi walikupangaje?
Waliona inampa milage Lissu kisiasa wakaona wafute. Ila wangeruhusu ingesaidia sana watu wengi kujua Sheria na kujitetea.Serikali inataka watu wote tuwe focused na watu wa aina hiyo ili wao waendelee kuiba na kula mali za umma.
Ukiachana na ukatili uliofanyika 29 October.
Ukatili mwingine ni kutoirusha live hii kesi.
asante kwa siku ya leo mkuu tukutane kesho, ikitokea umeishiwa vocha nikotayali kukukopea songesha ili tu usicheleweshe update,, huna deni ManyanzaTUNDU LISSU ANAHOJIWA MASWALI YA DODOSO MAHAKAMANI
Jaji Ndunguru: Shahidi, unasemaje? Naona umeanza kukusanya vitu.
Lissu: Waheshimiwa Majaji, kama ni saa 11, naomba tuhairishe. Nimesimama vya kutosha.
Majaji bado wanateta.
Jaji Ndunguru: Kimsingi huwa tunatamani tuanze saa 3 kamili. Wenzetu wa Magereza wajitahidi kuwahi.
Tukubaliane kesho saa 3 kamili tunaingia.
Mkichelewa, basi sisi tutaanza kuingia.
Shauri imeahirishwa mpaka kesho saa 3 asubuhi.
Majaji wanatoka.
WEKA EMOJI ZA KUTOSHA KAMA TULIKUWA PAMOJA.
Unaona baadala ya gentleman umehamia kwenye ndugu mtanzania. Sasa hivi sitahangaika na wewe.Acha kupotosha watu kwa hisia zako za kindezi ndugu mtanzania
Anamkubali sana heche
Lissu: Sina kamusi.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥TUNDU LISSU NAULIZWA MASWALI YA DODOSO MAHAKAMANI
Lissu anasoma Ibara ya 30 ya Katiba.
Naasoro Katuga: Ibara hiyo inasema huwezi kumzuia mtu kupata haki yake kama haki ya kupiga kura. Bado unasema ni haki kumzuia mtu kupiga kura?
Lissu: Ndiyo, kikatiba, kwa njia za kikatiba, inaruhusiwa.
Naasoro Katuga: Nakukumbusha wewe ni kaka yangu kwamba ninachokifanya hakina nia yoyote binafsi zaidi ya kusaidia Mahakama.
Lissu: Unamshitaki mtu kwa uhaini, halafu unasema huna nia yoyote?
Mahakama: Kicheko.
Nassoro Katuga: Tafsiri ya Kifungu cha 39, kinaposema “shall be liable”.
Kifungu cha sheria kinapotumia “liable”, ni discretion ya Mahakama.
Lissu: Sheria inaposema “shall be liable”, hakuna discretion ya Mahakama.
In fact, Wakili, sheria inasema “shall be sentenced to death”, siyo “liable to death”.
Naasoro Katuga: Unasoma Revised ya mwaka gani?
Lissu: Ya mwaka 2022.
Nassoro Katuga: Kaka, kuna sheria revised ya 2023. Wewe unasoma ya mwaka 2022 kivipi? Unajua kwamba kuna sheria ya mwaka 2023?
Lissu: Sijui.
Nassoro Katuga: Unajua kwamba hii ya mwaka 2023 inasema “shall be liable”?
Nakuondoa kule unaposema “nanyongwa miii, nanyongwa miii”.
Umesoma Sentencing Manual?
Lissu: Sentencing Manual ni sheria?
Naasoro Katuga: Unajua ikitumika neno “shall be liable” ni discretion ya Mahakama?
Lissu: Nimesema sijui.
Nassoro Katuga: Upo aware na kesi ya Muhagama?
Lissu: Naijua, na nipo Mahakamani na wewe unasoma hapo mbele yangu katika mtandao.
Nassoro Katuga: Basi tafuta kesi ya Mangoma.
Lissu: Natafutaje na nipo gerezani?
Nassoro Katuga: Najua una ma-researcher wako. Nataja ili wakatafute kesi ya Mangoma kuhusu Mahakama kutumia neno “liable”.
Lissu: Ndiyo, useme. Waambie ma-researcher wakatafute. Usiseme nikatafute na unajua sina mtandao huko gerezani.
Naasoro Katuga: Unaweza kutupa tafsiri ya neno “liable”?
Lissu: Sina kamusi.
Naasoro Katuga: Unaweza kutupa tofauti ya maneno “mkanganyiko” na “kukanganyika”?
Lissu: Mkanganyiko maana yake ni mvurugano.
Nassoro Katuga: Tusaidie tafsiri ya Kifungu cha 163 cha Sheria ya Ushahidi kati ya “contradiction” na “omission”.
Lissu: “Omission” katika Kifungu cha 163 cha Sheria ya Ushahidi halipo.
WEKA EMOJI KAMA UNASOMA
SHARE ZAIDI UJUMBE UFIKE MBALI