Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu kuhitimisha ushahidi Mkuu leo, Agosti 26, 2026 Mahakamani

Hoja yako ni ya msingi
 
Yani wanashangaa sana ujinga wa kina Katuga. Useless kabisa

..waendesha mashtaka walikuwa Dpp William Sekule, Johnson Mwanyika, Kulwa Masaba, George Mlawa,....

..Sekule aliteuliwa Jaji Mahakama Kuu, na baadae alikwenda katika mahakama za kimataifa.

..Johnson Mwanyika aliteuliwa Jaji na baadae akawa mwanasheria mkuu.

..Kulwa Masaba alipanda ngazi akawa Naibu Mwanasheria Mkuu.

..George Mlawa aliwahi kuteuliwa Katibu wa Bunge na baadae alichaguliwa mbunge wa Kalenga.

..Sasa unajiuliza hivi Nasoro Katuga kuna siku atateuliwa kuwa Jaji hapa nchini au kimataifa? Je, atakuwa Mwanasheria Mkuu?
 
Kwanini tusiamini? Tutaamini vizuri tu maana ninyi vibwengo huwa hamuoni aibu, kesi takataka, ushahidi takataka, Hata mkimfunga/mnyonga dunia nzima imeona kilichokuwa kinaendelea mahakamani bwana Kingai.

Leo ntapigwa ban nimefanya name calling .

Yule zile Risasi alizopigwa na Jiwe it seems zimemtia ukichaa

Sasa dawa ya kichaa ni kumpeleka jela tuh
 
Hao maaskari nawaonea huruma. Hawataingizwa kwenye shida?.
Mi pia nimewaza the same.

Wanaweza kuonekana kama watu wasiofanyia kazi maagizo.

At this point naanza kuelewa sababu ya wao kuvaa kininja.

Huwenda ile mask ya Kininja inawakinga wasionekana pale wanapocheka au kuficha aina hii ya facial expression.
 
Pole nyumbu kwa kukereka

Usikereke mapema
Nyumbu mwenzio lisu muda si mrefu atapgwa kitanzi kwa mjibu wa sheria....
Pole sana baa vichaa wa tecdema

Yule fa.la kabla ya kumpiga kitanzi inabidi afungwe apigwe miti kwanza baada ya miaka kadhaa ndipo ale kitanzi ili iwe fundisho kwa vichaa wenzake
 
Kumbe jamaa ni wana Kabisa 😀
 
Kwahiyo , unaweza ukawa kipara kama Januari Makamba na ukawa Rasta na ukawa na nywele kama Afaned sele ila usiwe Rastafarian?
Rastafarian wengi wanasema msingi wa imani yao sio dread japo wao wanakubali kuwa dread ni icon ya utambulisho wao.

Matendo ya Kirastafaian ndio yanayoweza kumtofautisha mfuga dread na mfuata imani.
 
Yule fa.la kabla ya kumpiga kitanzi inabidi afungwe apigwe miti kwanza baada ya miaka kadhaa ndipo ale kitanzi ili iwe fundisho kwa vichaa wenzake
Naomba sana Mungu hii hali itokee mamayako au babaake au wote wawili au mwanamke wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…