Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu kuhitimisha ushahidi Mkuu leo, Agosti 26, 2026 Mahakamani

Hii si sawa mtaignore wangapi maana hatuwezi kufanana kwa hoja as long as hajatukana ana haki ya kutoa maoni yake kwenye jukwaa
Hii ni post ya Taarifa ya yanayoendelea Mahakamani.

Na sio Post ya kutoa maoni na kubisha bishana.
Watu watulie wasome Updates kwa mtiririko.

Kuna watu weng baadae watatulia na wangependa wasome vizur kwa mtiririko. Na sio kila baada ya updates kuna mabishano.

na ni yeye vs watu wengi.
Angalia tangu page ya kwanza. Hadi page ya mwisho, kila page yuko. Comment moja mbili ni sawa. Ila yeye comments 37 ameshatoa so far.
Na anabishana na watu tofauti tofauti. Ni dhahiri amedhamiria kuharibu mtiririko.

Baadae pages zitakuwa 60 alafu updates 10. Kama tukiendelea kubishana nae
 
Mwachebj tu na yeye ashuhudie Nondo, sema Roho inamuuma lakini ndio dawa
 
JF ushindwe mwenyewe...kama unaona sheria hainogi kwa kiswahili ung'eng'e huu hapa
 
Kweli kabisa mkuu, tlatlaah anaboa sana. Mtu unafuatilia mtiririko wa kesi yeye analeta ujinga.
 
hata huyu anayemtetea agongwe IGNORE Anatetea upuuzi
 
huyo ni kuachana nae tu. Aropoke atosheke asubirie mtanange wa ngumi. Ila asije kunipga ya koromero ni kama anataka kuniua. Huyo wewe pita kushoto muache hapo alipo. Kadri unavobishana nae ndo unazid kumpa kibur na kujiona yey n top
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…