Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu kuhitimisha ushahidi Mkuu leo, Agosti 26, 2026 Mahakamani

Si vizuri kupangiana kwa namna hiyo ila tunaweza kushauriana vinginevyo ili uelewe hiki ninachosema ipo siku nawewe utakuwa kwenye post za upande usioupenda na utakuwa na mawazo tofauti zaidi ya ufuatiliaji
 
Unayemtetea haeleweki lengo lake ni kuvuruga, fuatilia post zake uone kama kuna mahali amecoment vitu vya maana, sisi tunafuatilia kesi hii tuko makini kabisa
 
Hapa ndipo napata hasira sanaaaa...why upige watu..na sheria iko wazi sema kosa langu au onyesha warrant ya kukamatwa...
 
Unayemtetea haeleweki lengo lake ni kuvuruga, fuatilia post zake uone kama kuna mahali amecoment vitu vya maana, sisi tunafuatilia kesi hii tuko makini kabisa
Suluhisho ni wewe kufuatilia kesi hasa focus na post za Manyanza hao wengine unaweza usisome au kuwapa umuhimu wakati unafuatilia

NB Simtetei mtu as a person natetea mchangiaji as genaral
 
Anayeleta kero kwa wengine awekwe kando, ameukimbia mjadala wa Nchimbi kujiuzulu kule maana yeye alisema ajiuzulu anakimbilia huku kupata relief ningekuwa mod ningemtuliza na kirungu cha kichwa walau kwa masaa 24 mwenzake Lucas ametulia yuko bize anabubujika huku kamasi zikimtoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…