Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Mbona mnajiliza, akichekesha ww usicheke. Ulitaka watu kesi ikiisha jioni wasiiende manyumbani kwao bali walale hapo mahakamani?Anaenda
Kukaangwa Mshitakiwa na Shahidi wake🫎‼️
Mh Lissu anapenda Sifa sifa wkt yeye yupo Lupango❗️
akikaangwa niyeye ndiyo ataenda mazima uko Lupango❗️
Wale yeye kaamua kuwachekesha wanaenda makwao kusimulia upumbavu wa Mshtakiwa 🫎🫎
muda ndio Mwalimu✍️