Kesi ya Uhaini ya Lissu inaendelea Mahakamani, DCI Kingai kutoa ushahidi wake Septemba 18, 2026

Mamaee

Simple and clear

Huwezi kujifanya kuwa na akili kuliko watu wote, wakati ni limdomo tu unalo!

Nilikuwa najiuliza huu upendo wa ghafla wa lisu kwa kingai umetoka wapi?
 
Part 432.

Mhe. Tundu Lissu ameingia Mahakamani watu wana vibe sana wanaimba Mwamba Mwamba huku wakipiga makofi mengi sana.

Majaji wote watatu wameingia na kuketi kwenye viti vyao.

Wakili wa Serikali Ajuaye amesimama na kutambulisha jopo lake na kuwa wako tayari kuendelea.

Mhe. Lissu na yeye anasema niko tayari kuendelea.

Mhe. Lissu amesimama na kusema kwamba nimekutana na Kamishna wa Polisi Ramadhani Kingai ambaye nilikuwa nimependekeza awe shahidi wangu wa leo, nimekutana nae Mahakamani kwenye chumba hiki hiki waheshimiwa majaji, naweza kuthibitisha kwamba ameheshimu wito wa Mahakama amekuja na nimezungumza nae kuhusu yeye kuwa shahidi wa upande wa utetezi na nimezungumza nae kiasi cha kutosha, baada ya kumueleza maeneo ambayo ningependa ayatolee ushahidi ameniambia kwamba yeye hawezi na hayuko tayari kutoa ushahidi kwa upande wangu kwa maneno yake mwenyewe amesema

“Yeye yuko upande wa wale wanaoomba na watakaoshangilia nikipatikana na hatia”

Kwahiyo amesema hayupo tayari kuja kutoa ushahidi kwa niaba yangu.

Nimemuelewa Waheshimiwa Majaji kama hayuko tayari siwezi kumlazimisha kutoa ushahidi ambao hataki kuutoa.

Waheshimiwa Majaji Kingai ameniambia kitu kingine kuhusiana na mashahidi wengine wawili IGP Camillius Wambura na CDF Jacob Mkunda, amesema vilevile hata wao watakaporejea nchini na kupata wito wa Mahakama msimamo wao utakuwa ni huo huo kwamba na wao hawatakuwa tayari kutoa ushahidi kwa upande wa utetezi kwasababu ile ile kuwa wako upande wa wale wanaoombea na watakaoshangilia nikipatikana na hatia.

Katika Mazingira haya waheshimiwa majaji maana yake ni kwamba sina mashahidi zaidi kwahiyo naomba kufunga ushahidi kwa upande wa utetezi.

Ni hayo tu waheshimiwa majaji.
 
kwenye 48 laws of power, huyo kibaraka alikua anajaribu kutumia
mbinu inaitwa surrender tactics, ikashtikiwa haraka sana na huyo kachero kingai 🐒
 
ok.🐒
 
Mamaee

Simple and clear

Huwezi kujifanya kuwa na akili kuliko watu wote, wakati ni limdomo tu unalo!

Nilikuwa najiuliza huu upendo wa ghafla wa lisu kwa kingai umetoka wapi?
Lissu amejaliwa kuwa na IQ kubwa kuliko kamati kuu yote ya maccm combined!.
Mwenyekt wenu ndiye kilazaaa wa kutupwa ni katiba ya hovyo tu imembeba!
 
Hiki ndicho alichokuwa anakitaka kutoka kwa hao watu. Cha kushangaza CHAWA wasio na akili wanashangilia. Bila shaka hawajui malengo ya Lissu yalikuwa ni kutaka hawa viongozi wakuu wa vyombo vya dola waweke msimamo wao wazi ya kuwa wanafurahia/wanashangilia kuona Lissu anaumizwa/anahukumiwa hata kama hana hatia. Maana yake walishiriki kwenye hii kesi kuanzia mwanzo mpaka mwisho.

Hakika inamhitaji mtu kuwa na akili ya ziada kuugundua huu mtego. Kazi ipo kwa Majaji wa ccm kuamua kusuka au kunyoa.
 
Kwa hiyo inakuwaje kisheria?
 
kwenye 48 laws of power, huyo kibaraka alikua anajaribu kutumia
mbinu inaitwa surrender tactics, ikashtikiwa haraka sana na huyo kachero kingai
Ameruka ya 19 inayosema "know who you are dealing with" karukia ya 22 inayosema "surrender tactic"
 
Hiki ndicho alichokuwa anakitaka kutoka kwa hao watu. Cha kushangaza CHAWA wasio na akili wanashangilia. Bila shaka hawajui malengo ya Lissu yalikuwa ni kutaka hawa viongozi wakuu wa vyombo vya dola waweke msimamo wao wazi ya kuwa wanafurahia/wanashangilia kuona Lissu anaumizwa/anahukumiwa hata kama hana hatia. Maana yake walishiriki kwenye hii kesi kuanzia mwanzo mpaka mwisho.

Hakika inamhitaji mtu kuwa na akili ya ziada kuugundua huu mtego. Kazi ipo kwa Majaji wa ccm kuamua kusuka au kunyoa.
Kwamba kahukumiwa Hata kabla ya mahakama! Kweli inahitajika Akili KUBWA!
 
Kwa wale ambao hatujawahi kumsikia DCI Ramdhani Kingai akiongea na vyombo vya habari:

TOKA MAKTABA :
Julai 9, 2024

DCI KINGAI AKABIDHI VYETI VYA HESHIMA NA ZAWADI KWA ASKARI WALIOFANYA KAZI VIZURI ZAIDI DAR...

View: https://m.youtube.com/watch?v=Auosf8BrOiY
Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) nchini Kamishna wa Polisi Ramadhani Kingai leo Julai 9, 2024 Katika ukumbi wa Maofisa wa Polisi uliopo Police Oysterbay Kinondoni DSM amewakabidhi vyeti vya heshima askari 13 wa Jeshi la Polisi waliofanya kazi vizuri zaidi kwa mwaka 2023/2024 DCI CP.

DCI Kingai amesema askari hao wamepewa vyeti na zawadi hizo kwa mujibu wa Kanuni za Kudumu za Jeshi la Polisi (Police General Orders) na Kauli mbiu ya Jeshi la Polisi ya Nidhamu, Haki weledi na uadilifu
 
Attachments

  • IMG_6157.jpeg
    IMG_6157.jpeg
    56.6 KB · Views: 15
Mamaee

Simple and clear

Huwezi kujifanya kuwa na akili kuliko watu wote, wakati ni limdomo tu unalo!

Nilikuwa najiuliza huu upendo wa ghafla wa lisu kwa kingai umetoka wapi?
Huoni kama katiba inakanyagwa hapo?

Huyo DCI kitendo cha kusema yupo upande wa uonevu tayari ni red alert hatuko salama kama taifa. Kwa kuwa machawa hamna akili mnachukulia sawa..!!
 
Back
Top Bottom