econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 25,522
- 40,795
Mtego huwezi kuuona ukiwa kipofu. Yani kesi ya uhaini DCI Hana la kusema? IGP? CDF?Hakuna mtego wowote.
Hivi Lissu si alisema ana mashahidi wale wanaharakati wa Kenya na Uganda, vp tena!?
Mtego huwezi kuuona ukiwa kipofu. Yani kesi ya uhaini DCI Hana la kusema? IGP? CDF?Hakuna mtego wowote.
Hivi Lissu si alisema ana mashahidi wale wanaharakati wa Kenya na Uganda, vp tena!?
relax 🐒Haya MKUU!
Kwani kesi iliandaliwa na nani??Dah! Aiseeh. Mkurugenzi wa upelelezi Hana la kusema kuhusu uhaini.
Imtetee au ije iseme Inachojua? Kesi ya uhaini ila CDF anakimbia na kujificha. OkYaani serikali imtetee muhaini?hiki kichekesho umewahi kukisikia wapi??
Huo uchawa hauna tofauti na mwehu anayekata gogo hadharani huku amejiziba mashavu akidhani haonekani.Uchawa mbaya sana
ndo bas tena,Wewe huna la maana . Hadhi yako ni sawa na kinyesi.
Ungekuwa unafuatilia hii kesi usingeuliza hilo swaliKwani wale Mashahidi wa Kenya na Uganda wamemkataa pia?
Mashahidi wa kificho unawajua??
Chini ya IGP,CDF,DCI Kuna nani wanaofanya kazi kwa niaba yao??Mtego huwezi kuuona ukiwa kipofu. Yani kesi ya uhaini DCI Hana la kusema? IGP? CDF?
Ndio ukae kimyaKwani mimi jaji?Je kuna mtu mwenye madaraka ya kuhukumu zaidi ya jaji?
Kazi ya shahidi sio kumtetea mtu mzee!!!Yaani serikali imtetee muhaini?hiki kichekesho umewahi kukisikia wapi??
Njoo hapa nyumbu ueleze ni katiba ibara ipi imekanyagwa kwa kingai kusema yupo upande wa watakaofurahia huyo mhaini kupatikana na kosa?Huoni kama katiba inakanyagwa hapo?
Huyo DCI kitendo cha kusema yupo upande wa uonevu tayari ni red alert hatuko salama kama taifa. Kwa kuwa machawa hamna akili mnachukulia sawa..!!
Unaniuliza Mimi? Ukifatilia kesi hakuna sehemu DCI anatajwaKwani kesi iliandaliwa na nani??
Unawajua watumishi wa DCI??..Kingai hakuwa miongoni mwa mashahidi ambao mahakama iliruhusu wawe wa kificho.
..mahakama kuu iliamua mashahidi wa kificho watakuwa raia tu, polisi watatoa ushahidi wa wazi.
..kwa hiyo hakuna uwezekano kwamba Dci Kingai alishatoa ushahidi kwa njia ya kificho.
Wale bodaboda?Mashahidi wa kificho unawajua??
Ameshazoea kuwaonea mateja na vibaka wa kukwiba pochi za akina dada huyo.Hana ubavu wa kiakili kusimama na TAML.Simkejeli hata kidogo.Nsjua naye analijua hilo kwa moyo na hata kwa kufikiri.Dah! Aiseeh. Mkurugenzi wa upelelezi Hana la kusema kuhusu uhaini.
Njoo hapa nyumbu ueleze ni katiba ibara ipi imekanyagwa kwa kingai kusema yupo upande wa watakaofurahia huyo mhaini kupatikana na kosa?Huoni kama katiba inakanyagwa hapo?
Huyo DCI kitendo cha kusema yupo upande wa uonevu tayari ni red alert hatuko salama kama taifa. Kwa kuwa machawa hamna akili mnachukulia sawa..!!
Unajua hujui kwamba mashtaka huandaliwa na DCIUnaniuliza Mimi? Ukifatilia kesi hakuna sehemu DCI anatajwa