Kesi ya Uhaini ya Lissu inaendelea Mahakamani, DCI Kingai kutoa ushahidi wake Septemba 18, 2026

Kesi ya Uhaini ya Lissu inaendelea Mahakamani, DCI Kingai kutoa ushahidi wake Septemba 18, 2026

Huyu jamaa ataacha ndala Leo hapo mahakamani
Yaone mazombie km huyu, Kingai ameshakataa kutoa ushahidi bado kuna kenge km huyu hajui ht kinachoendelea, wafuasi wengi aa chadema ni watu wenye matatizo ya akili, ni watu wenye stress za maisha na wakifikiri kuna mtu amewaletea ugumu wa maisha na kuna mtu atawasaidia.
 
Mahakama Haiti tu watu, Bali wanakuja kama mashahidi. Na kama wanaitajika ma mahakama watakuja kama marafiki wa mahakama.
Mahakama haikuwahitaji ....aliyewahitaji ni mshitakiwa ....na kwa uungwana wa mahakama ikamsaidia kumpa summons ili angalau afanikiwe kuwapata japo haikuwa sawa.
Katuga alisema :kuna siku mtu ataomba Mungu awe shahidi wake sijui ni kwa vipi atapatikana
 
Hibo nikiandika wewe ni kum*** au nikakwambia kua wewe unat*** mbwa nitakua nimetukana?
Hautakuwa umekosea maana ndo maisha uliyokua ukayakuta katika familia yenu.. Umekua ukamkuta mama yako ana kipochi manyoya na anagongwa both anal and oral sex..
 
Wewe uwatake kama nani?Mahakama inatambua uhaini ni nini na wala isingesubiri kusimuliwa na mashahidi wa upande wowote.uhaini umeandikwa kwenye sheria tayari...hauhitaji mfafanuzi wa uhaini.
Msifanye mzaha kwenye mambo serious
Wewe ndio unafanya mzaha. Kama mahakama inajua maana ya uhaini huo mwaka mzima na miezi kadhaa imejaa kwa ajili Gani?. Hao mashahidi wa Jamhuri iliwasikiliza wa Nini? Wameitwa wakuu wa usalama waje waseme wanachojua kuhusu uhaini ulipangwa wewe unadai sio lazima. Sasa kama wakauu wa usalama sio lazima kutoa ushahidi je nani atatoa ushahidi kuelezea uhaini ulivyo pangwa.
 
Kesi imeisha, Tundu Lissu hana kosa lolote.

Bora kichaa kuliko wauaji wanaoua ndugu zetu ili kuongoza kwa nguvu

Hana kosa na mahakama imemkuta na kesi ya kujibu na watetezi wake wenyewe ndo wale mafala kama heche ambao kila walichokawa wanaulizwa walikuwa wanasema hawajui??
 
Ndiyo ujue Lissu ni kichaa, hv ingewezekana vipi hao vigogo kuwa mashahidi wa kumtetea? Km siyo kuwapumbaza wafuasi wake ni nini, anafanya mambo ya kitoto, Lissu hafai kuwa hata kiongozi wa kijiji, subirini atakavyolibomoa hilo lichadema hana sifa ya kuwa kiongozi, hana hekima wala busara
Wewe ndio kichaa. Kesi ya uhaini hutaki IGP, DCI na CDF waseme wanachojua?. Yani mtuhumiwa kawaita ili apate ukweli wa mambo, wewe unasema sio lazima.
 
Ina maana Lissu alikuwa anaamini kabisa Kingai angekuwa upande wake?!

Sawa, ni kiongozi wa umma, lakini Lissu hajui kama Kingai ameteuliwa na Rais?

Sababu zile zinazofanya Chadema wasusie uchaguzi, kwamba tume sio huru, Lissu hakuona kama zilikuwa zina apply leo kwa Kingai?!

Mimi nilijua kabisa Lissu anajua Kingai angegoma kuwa upande wake, ili awaombe majaji amfanyie Kingai cross examination, but .....!!
 
Ndiyo ujue Lissu ni kichaa, hv ingewezekana vipi hao vigogo kuwa mashahidi wa kumtetea? Km siyo kuwapumbaza wafuasi wake ni nini, anafank.o ya mambo ya kitoto, Lissu hafai kuwa hata kiongozi wa kijiji, subirini atakavyolibomoa hilo lichadema hana sifa ya kuwa kiongozi, hana hekima wala busara
Ukijiona una jazba, ujue unaumizwa na ukweli.
 
Mahakama haikuwahitaji ....aliyewahitaji ni mshitakiwa ....na kwa uungwana wa mahakama ikamsaidia kumpa summons ili angalau afanikiwe kuwapata japo haikuwa sawa.
Katuga alisema :kuna siku mtu ataomba Mungu awe shahidi wake sijui ni kwa vipi atapatikana
Mahakama haijasema haiwaitaji ndio maana imetoa summons waje mahakamani. Wao walipofika wamegoma kutoa ushahidi.
 
..kwanini DCI Kingai hakutoa ushahidi kwa upande wa mashtaka?

..kesi kubwa kama ya uhaini ni lazima Mkuu wa Tiss, Igp, na Dci, watoe ushahidi upande wa mashtaka.

..kutokutokea kwao kusaidia upande wa mashtaka kunafanya kesi nzima iwe ya kutilia mashaka.
Hii hoja yako nimeona umeandika kwenye thread zaidi ya moja.

Hii ni hoja nzito yenye kuhitaji majibu. Hii ilitakiwa kuwepo na thread yake pekee.

Kwanini upande wa mashtaka hawakuwaleta hao kina DCI Kingai, IGP, mkuu wa TISS na CDF kama mashahidi wao kwenye kesi nzito kama hii ya uhaini?

Hao ninaamini ndiyo wahusika wakuu kwenye kesi kama hii.

Binafsi naamini waliacha kuwaita kwasababu upande wa utetezi na wao wangewahoji.

Ingekuwa siyo kesi ya mchongo, lazima wangekuja kutoa ushahidi.
 
Njoo hapa nyumbu ueleze ni katiba ibara ipi imekanyagwa kwa kingai kusema yupo upande wa watakaofurahia huyo mhaini kupatikana na kosa?
-hata mm nitafurahia sana kama tundu atahukumiwa? Vipi hapo ibara ya ngapi imesiginwa?

Mhaini mwenyewe ambaye ni jiniasi wenu hajasema hata kifungu kilichosiginwa, wewe unakuja hapa kupotosha eti kuwa katiba imesiginwa! Katiba ipi au ya ufipa?

Kwani kuna sheria inavunjwa pale unapofurahia mpuuzi mmoja kunyongwa? Au nyie mkifurahia kifo cha kiongozi wa serikali huwa mmevunja katiba?

hakuna siku nitaudhika na kuziona sheria hazifai kama lissu hatafungwa/kunyongwa.
-akipigwa kitanzi kwangu mimi ni furaha, mbwa huyo ameleta matatizo makubwa kwa taifa hili kupitia kauli zake.
Huna akili sababu umetoa mavi tumboni umepeleka kichwani..!!

Huyo DCI alitakiwa atoe ushahidi anaoujua na sio kujibu eti atakuwa upande wa waovu.


Lissu kasababisha matatizo gani zaidi ya nyie veggies kumpiga risasi na kumpotezea muda wake huko gerezani? Muwe na aibu nyie machawa mnaovimba matumbo kwa kodi za wananchi..!!

Kwa taarifa yako hanyongwi boss wako anaaha leo kesho wayamalize. Nakushangaa wewe mtumwa wake umejaa kisebengo kushadadia ujinga..!!
 
Back
Top Bottom