THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,873
- 15,267
Uelewa wako ni mdogo sana kuhusu hii kesi mtoto wa miaka 3 anaweza kukuzidi akili
Kwa hiyo hujui lengo la Lisu kuita MAADUI zake kuwa mashahidi wake
Wamekataa sasa kumpa ushirikiano,we ulidhani yeye kingai fala hadi ampe nafasi lisu ya kumfanyia cross examanition??
Hicho kidole kajitia mwenyewe lisu