Kesi ya Uhaini ya Lissu inaendelea Mahakamani, DCI Kingai kutoa ushahidi wake Septemba 18, 2026

Naitafuta logic yake hapa sijaiona zaidi ya kutaka kusherehesha audience kitu ambacho Kingai amemnyima.
Hapa pia ndipo ninapoona weledi wa KATUGA Katika kupanga aina ya mashahidi licha ya kuwa na uwezo wa kuwa na mashahidi wengi....
Duuuh mashahidi wa Katuga sio Credible,wote upande wa utetezi walionesha ni kwa namna gani wanatumika!Wahalifu waliokiri kupanga kufanya uhalifu ndio hao hao wanasamehewa uhalifu wao ili waje kuwa mashahidi kwenye kesi ya Lissu!
Ukiondoa hao mashahidi wengine ni askari,na wenyewe ushahidi wao haukuwa na mashiko!Sasa hiyo imekaaje?
 
Naitafuta logic yake hapa sijaiona zaidi ya kutaka kusherehesha audience kitu ambacho Kingai amemnyima.
Hapa pia ndipo ninapoona weledi wa KATUGA Katika kupanga aina ya mashahidi licha ya kuwa na uwezo wa kuwa na mashahidi wengi....
Inawezekana hiyo logic atakuwa nayo mwenyewe akilini mwake.
 
Anaenda
Kukaangwa Mshitakiwa na Shahidi wake🫎‼️

Mh Lissu anapenda Sifa sifa wkt yeye yupo Lupango❗️

akikaangwa niyeye ndiyo ataenda mazima uko Lupango❗️

Wale yeye kaamua kuwachekesha wanaenda makwao kusimulia upumbavu wa Mshtakiwa 🫎🫎
muda ndio Mwalimu✍️
UMEONGEA KITU KIKUBWA SANA NDUGU..SEMA BASI TU
 
Hiki ndicho alichokuwa anakitaka kutoka kwa hao watu. Cha kushangaza CHAWA wasio na akili wanashangilia. Bila shaka hawajui malengo ya Lissu yalikuwa ni kutaka hawa viongozi wakuu wa vyombo vya dola waweke msimamo wao wazi ya kuwa wanafurahia/wanashangilia kuona Lissu anaumizwa/anahukumiwa hata kama hana hatia. Maana yake walishiriki kwenye hii kesi kuanzia mwanzo mpaka mwisho.

Hakika inamhitaji mtu kuwa na akili ya ziada kuugundua huu mtego. Kazi ipo kwa Majaji wa ccm kuamua kusuka au kunyoa.
Kama hayo maneno ya "kushangilia" kama yalivyosemwa na Ramadhani Kingai yatakuwemo kwenye rekodi; maana yake ni kwamba yatathibitisha yale aliyosema mshtakiwa mwanzo wa kujitetea kwake; kwamba Kingai na Wambura wamekuwa mahasimu wake wa siku nyingi; na kwa maana hiyo, kesi hii ni mwendelezo uleule wa hawa watu kutaka kummaliza Tundu Lissu.
 
Na hapa ndipo kwenye pointi ya mtazamo wangu.
 
Hiki ndicho alichokuwa anakitaka kutoka kwa hao watu. Cha kushangaza CHAWA wasio na akili wanashangilia. Bila shaka hawajui malengo ya Lissu yalikuwa ni kutaka hawa viongozi wakuu wa vyombo vya dola waweke msimamo wao wazi ya kuwa wanafurahia/wanashangilia kuona Lissu anaumizwa/anahukumiwa hata kama hana hatia. Maana yake walishiriki kwenye hii kesi kuanzia mwanzo mpaka mwisho.

Hakika inamhitaji mtu kuwa na akili ya ziada kuugundua huu mtego. Kazi ipo kwa Majaji wa ccm kuamua kusuka au kunyoa.
Hiyo taarifa imeingia kwenye rekodi ya mahskama, na mawakili wa serikali walivyo maboya, wameshindwa kuufanyia cross examination, maana yake taarifa imerokdiwa unchallenged
 
Kama Mkurugenzi wa Mashtaka ndo mwenye hiyo kesi kasema hivyo maana yake kakiri wazi tayari wana hukumu yao kabla ya kesi kuamuliwa mahakamani,hivyo ni hakimu mjinga tu ndo atakayemfunga Lissu. Pia jambo la ajabu wakuu wa vyombo vya usalama eti hawana neno lolote(ushahidi) la kusema kuhusu kesi hii
 
Back
Top Bottom