Kesi ya Uhaini ya Lissu inaendelea Mahakamani, DCI Kingai kutoa ushahidi wake Septemba 18, 2026

Kesi ya Uhaini ya Lissu inaendelea Mahakamani, DCI Kingai kutoa ushahidi wake Septemba 18, 2026

Part 432.

Mhe. Tundu Lissu ameingia Mahakamani watu wana vibe sana wanaimba Mwamba Mwamba huku wakipiga makofi mengi sana.

Majaji wote watatu wameingia na kuketi kwenye viti vyao.

Wakili wa Serikali Ajuaye amesimama na kutambulisha jopo lake na kuwa wako tayari kuendelea.

Mhe. Lissu na yeye anasema niko tayari kuendelea.

Mhe. Lissu amesimama na kusema kwamba nimekutana na Kamishna wa Polisi Ramadhani Kingai ambaye nilikuwa nimependekeza awe shahidi wangu wa leo, nimekutana nae Mahakamani kwenye chumba hiki hiki waheshimiwa majaji, naweza kuthibitisha kwamba ameheshimu wito wa Mahakama amekuja na nimezungumza nae kuhusu yeye kuwa shahidi wa upande wa utetezi na nimezungumza nae kiasi cha kutosha, baada ya kumueleza maeneo ambayo ningependa ayatolee ushahidi ameniambia kwamba yeye hawezi na hayuko tayari kutoa ushahidi kwa upande wangu kwa maneno yake mwenyewe amesema

“Yeye yuko upande wa wale wanaoomba na watakaoshangilia nikipatikana na hatia”

Kwahiyo amesema hayupo tayari kuja kutoa ushahidi kwa niaba yangu.

Nimemuelewa Waheshimiwa Majaji kama hayuko tayari siwezi kumlazimisha kutoa ushahidi ambao hataki kuutoa.

Waheshimiwa Majaji Kingai ameniambia kitu kingine kuhusiana na mashahidi wengine wawili IGP Camillius Wambura na CDF Jacob Mkunda, amesema vilevile hata wao watakaporejea nchini na kupata wito wa Mahakama msimamo wao utakuwa ni huo huo kwamba na wao hawatakuwa tayari kutoa ushahidi kwa upande wa utetezi kwasababu ile ile kuwa wako upande wa wale wanaoombea na watakaoshangilia nikipatikana na hatia.

Katika Mazingira haya waheshimiwa majaji maana yake ni kwamba sina mashahidi zaidi kwahiyo naomba kufunga ushahidi kwa upande wa utetezi.

Ni hayo tu waheshimiwa majaji.

Alikuwa anatarajia
Nini nguchiro huyo
 
Which blunder?. Yani kesi ya uhaini DCI, IGP and CDF Wana kula Kona kuja mahakamani kusema wanachojua kuhusu uhaini. Uhaini Gani huo?
Mahakama ingetaka kujua maana kutoka kwao ingewaita kwa minajili hiyo.
Mahakama haikuwa na hitaji hilo.
Lissu Aliita mashahidi wake ambao wamemkatalia
 
huna haja ya kuweweseke wala kubabaika na maoni yangu.

toa maoni yako huru jukwaani bila mihemko wala makasiriko dhidi ya mitazamo huru ya wengine na itapendeza zaidi gentleman 🐒

Kwa usumbufu aliousababishia mahakama dawa yake baada tuh ya kifungo ni kupigwa miti wiki tatu mfululizo ili akili imkae sawa huyo Dotto magari wa kuchovya
 
Hatutaki wanaofanya kazi chini yao tunawata wao wenyewe wake mahakamani waseme wanachojua kuhusu huo uhaini.
Wewe uwatake kama nani?Mahakama inatambua uhaini ni nini na wala isingesubiri kusimuliwa na mashahidi wa upande wowote.uhaini umeandikwa kwenye sheria tayari...hauhitaji mfafanuzi wa uhaini.
Msifanye mzaha kwenye mambo serious
 
Njoo hapa nyumbu ueleze ni katiba ibara ipi imekanyagwa kwa kingai kusema yupo upande wa watakaofurahia huyo mhaini kupatikana na kosa?
-hata mm nitafurahia sana kama tundu atahukumiwa? Vipi hapo ibara ya ngapi imesiginwa?

Mhaini mwenyewe ambaye ni jiniasi wenu hajasema hata kifungu kilichosiginwa, wewe unakuja hapa kupotosha eti kuwa katiba imesiginwa! Katiba ipi au ya ufipa?

Kwani kuna sheria inavunjwa pale unapofurahia mpuuzi mmoja kunyongwa? Au nyie mkifurahia kifo cha kiongozi wa serikali huwa mmevunja katiba?

hakuna siku nitaudhika na kuziona sheria hazifai kama lissu hatafungwa/kunyongwa.
-akipigwa kitanzi kwangu mimi ni furaha, mbwa huyo ameleta matatizo makubwa kwa taifa hili kupitia kauli zake.
Hibo nikiandika wewe ni kum*** au nikakwambia kua wewe unat*** mbwa nitakua nimetukana?
 
..kwanini DCI Kingai hakutoa ushahidi kwa upande wa mashtaka?

..kesi kubwa kama ya uhaini ni lazima Mkuu wa Tiss, Igp, na Dci, watoe ushahidi upande wa mashtaka.

..kutokutokea kwao kusaidia upande wa mashtaka kunafanya kesi nzima iwe ya kutilia mashaka.
Ukiona hivyo majibu yameshapangwa hakuna jaji nchi hii asiye nunulika
 
Ndiyo ujue Lissu ni kichaa, hv ingewezekana vipi hao vigogo kuwa mashahidi wa kumtetea? Km siyo kuwapumbaza wafuasi wake ni nini, anafanya mambo ya kitoto, Lissu hafai kuwa hata kiongozi wa kijiji, subirini atakavyolibomoa hilo lichadema hana sifa ya kuwa kiongozi, hana hekima wala busara
 
Mahakama ingetaka kujua maana kutoka kwao ingewaita kwa minajili hiyo.
Mahakama haikuwa na hitaji hilo.
Lissu Aliita mashahidi wake ambao wamemkatalia
Mahakama Haiti tu watu, Bali wanakuja kama mashahidi. Na kama wanaitajika ma mahakama watakuja kama marafiki wa mahakama.
 
Alikuwa anatarajia
Nini nguchiro huyo
NGUCHIRO ni mama Yako mzazi

Screenshot_20260717-165844.png
 
Hatutaki wanaofanya kazi chini yao tunawata wao wenyewe wake mahakamani waseme wanachojua kuhusu huo uhaini.
Wewe uwatake kama nani?Mahakama inatambua uhaini ni nini na wala isingesubiri kusimuliwa na mashahidi wa upande wowote.uhaini umeandikwa kwenye sheria tayari...hauhitaj
Acha uongo wewe. Mashtaka yapo chini ya DPP
Unatenganisha vipi kazi za DCI na DPP??
 
Kesi imeisha, Tundu Lissu hana kosa lolote.
Ndiyo ujue Lissu ni kichaa, hv ingewezekana vipi hao vigogo kuwa mashahidi wa kumtetea? Km siyo kuwapumbaza wafuasi wake ni nini, anafanya mambo ya kitoto, Lissu hafai kuwa hata kiongozi wa kijiji, subirini atakavyolibomoa hilo lichadema hana sifa ya kuwa kiongozi, hana hekima wala busara
Bora kichaa kuliko wauaji wanaoua ndugu zetu ili kuongoza kwa nguvu
 
Back
Top Bottom