Kesi ya Uhaini ya Lissu inaendelea Mahakamani, DCI Kingai kutoa ushahidi wake Septemba 18, 2026

Kesi ya Uhaini ya Lissu inaendelea Mahakamani, DCI Kingai kutoa ushahidi wake Septemba 18, 2026

Wewe ndio unafanya mzaha. Kama mahakama inajua maana ya uhaini huo mwaka mzima na miezi kadhaa imejaa kwa ajili Gani?. Hao mashahidi wa Jamhuri iliwasikiliza wa Nini? Wameitwa wakuu wa usalama waje waseme wanachojua kuhusu uhaini ulipangwa wewe unadai sio lazima. Sasa kama wakauu wa usalama sio lazima kutoa ushahidi je nani atatoa ushahidi kuelezea uhaini ulivyo pangwa.
Rejea hoja yako usiwe kinyonga muongo muongo na mtu wa kuspin.
Hoja yako ya kumuhitaji DCI,IGP na CDF ni kuja kueleza maana ya uhaini...nikakujibu maana ya uhaini imeshaandikwa na haihitaji ufafanuzi.
Kuhusu ushahidi wa kuonesha kuwa mshtakiwa ametenda kosa tayari mawakili wa serikali waliwasilisha orodha yao ya mashahidi na wakafika kutoa ushahidi na mtuhumiwa aka wafanya dodoso.
Tatu mshtakiwa alipewa fursa na haki ya kuleta mashahidi wa kumtetea ...akapanga mashahidi wake na aka weka na utani wa kutaka waliomshitaki kuwa watetezi wake...sasa waliomshtaki hawataki mzaha katika mambo serious...tusubiri hukumu
 
Waheshimiwa Majaji Kingai ameniambia kitu kingine kuhusiana na mashahidi wengine wawili IGP Camillius Wambura na CDF Jacob Mkunda, amesema vilevile hata wao watakaporejea nchini na kupata wito wa Mahakama msimamo wao utakuwa ni huo huo kwamba na wao hawatakuwa tayari kutoa ushahidi kwa upande wa utetezi kwasababu ile ile kuwa wako upande wa wale wanaoombea na watakaoshangilia nikipatikana na hatia.

Katika Mazingira haya waheshimiwa majaji maana yake ni kwamba sina mashahidi zaidi kwahiyo naomba kufunga ushahidi kwa upande wa utetezi.
Kingai bora katema Bungo angeaibika.
 
Rejea hoja yako usiwe kinyonga muongo muongo na mtu wa kuspin.
Hoja yako ya kumuhitaji DCI,IGP na CDF ni kuja kueleza maana ya uhaini...nikakujibu maana ya uhaini imeshaandikwa na haihitaji ufafanuzi.
Kuhusu ushahidi wa kuonesha kuwa mshtakiwa ametenda kosa tayari mawakili wa serikali waliwasilisha orodha yao ya mashahidi na wakafika kutoa ushahidi na mtuhumiwa aka wafanya dodoso.
Tatu mshtakiwa alipewa fursa na haki ya kuleta mashahidi wa kumtetea ...akapanga mashahidi wake na aka weka na utani wa kutaka waliomshitaki kuwa watetezi wake...sasa waliomshtaki kawasaki mzaha katika mambo serious...tusubiri hukumu
Wewe kweli zezeta na stupid idiot. Kwa hivyo nabishana na idiot. Yani Mimi nadai waje waelezee uhaini ulivyokuwa, wewe unaleta ubishi wa kijinga eti waelezee maana ya uhaini. Yani machawa wa CCM ni zero brain.
 
Ndiyo ujue Lissu ni kichaa, hv ingewezekana vipi hao vigogo kuwa mashahidi wa kumtetea? Km siyo kuwapumbaza wafuasi wake ni nini, anafanya mambo ya kitoto, Lissu hafai kuwa hata kiongozi wa kijiji, subirini atakavyolibomoa hilo lichadema hana sifa ya kuwa kiongozi, hana hekima wala busara
Uelewa wako ni mdogo sana kuhusu hii kesi kuku wa kienyeji anaweza kukuzidi akili

Kwa hiyo hujui lengo la Lisu kuita MAADUI zake kuwa mashahidi wake
 
Njoo hapa nyumbu ueleze ni katiba ibara ipi imekanyagwa kwa kingai kusema yupo upande wa watakaofurahia huyo mhaini kupatikana na kosa?
-hata mm nitafurahia sana kama tundu atahukumiwa? Vipi hapo ibara ya ngapi imesiginwa?

Mhaini mwenyewe ambaye ni jiniasi wenu hajasema hata kifungu kilichosiginwa, wewe unakuja hapa kupotosha eti kuwa katiba imesiginwa! Katiba ipi au ya ufipa?

Kwani kuna sheria inavunjwa pale unapofurahia mpuuzi mmoja kunyongwa? Au nyie mkifurahia kifo cha kiongozi wa serikali huwa mmevunja katiba?

hakuna siku nitaudhika na kuziona sheria hazifai kama lissu hatafungwa/kunyongwa.
-akipigwa kitanzi kwangu mimi ni furaha, mbwa huyo ameleta matatizo makubwa kwa taifa hili kupitia kauli zake.
Ilo bao baba yako si bora lingemtoka tu akiwa usingizini, au angelizuia na mipira ukatupwa chooni🚮
 
What a blunder! Lisu ameonyesha ototo wa hali ya juu sana.Mimi nilijua Kuna mitego ameiweka kumbe maneno hewa. Basi asubiri huruma za rais
Uelewa wako ni mdogo sana kuhusu hii kesi Bata maji anaweza kukuzidi akili

Kwa hiyo hujui lengo la Lisu kuita MAADUI zake kuwa mashahidi wake
 
Kwa usumbufu aliousababishia mahakama dawa yake baada tuh ya kifungo ni kupigwa miti wiki tatu mfululizo ili akili imkae sawa huyo Dotto magari wa kuchovya
Uelewa wako ni mdogo sana kuhusu hii kesi mtoto wa miaka 3 anaweza kukuzidi akili

Kwa hiyo hujui lengo la Lisu kuita MAADUI zake kuwa mashahidi wake
 
Back
Top Bottom