Mbona mnajiliza, akichekesha ww usicheke. Ulitaka watu kesi ikiisha jioni wasiiende manyumbani kwao bali walale hapo mahakamani?Anaenda
Kukaangwa Mshitakiwa na Shahidi wake🫎‼️
Mh Lissu anapenda Sifa sifa wkt yeye yupo Lupango❗️
akikaangwa niyeye ndiyo ataenda mazima uko Lupango❗️
Wale yeye kaamua kuwachekesha wanaenda makwao kusimulia upumbavu wa Mshtakiwa 🫎🫎
muda ndio Mwalimu✍️
Lissu ndiye aliyetaka muda huo.kwanini saa nane , wanataka aulizwe kwa muda mchache?
Huo muda kunakuwa na joto zuri sana.Ndiyo vizuri ili tuwe tunapata cooling break!kwanini saa nane , wanataka aulizwe kwa muda mchache?
'hudhuru' ndio nini?Isije akatoa hudhuru kabla ya kutimba mahakamani
ok.Lissu sio Babu Tale mkuu.
ok.Wew subiri, mambo hujui halafu unajifanyq kujua!
Ok.aache
acrossiwe. hamna rangi ataacha kuona
ok.🐒NI kweli Kingai katema nyama huko,kakimbia kaacha ndala
ok.🐒Lissu kaomba ushahidi ufungwe
Unaandikaga maujinga sana alafu hayaelewekiAnaenda
Kukaangwa Mshitakiwa na Shahidi wake🫎‼️
Mh Lissu anapenda Sifa sifa wkt yeye yupo Lupango❗️
akikaangwa niyeye ndiyo ataenda mazima uko Lupango❗️
Wale yeye kaamua kuwachekesha wanaenda makwao kusimulia upumbavu wa Mshtakiwa 🫎🫎
muda ndio Mwalimu✍️
ok.🐒18 September 2026
High of Tanzania
Kivukoni Front
Dar es Salaam, Tanzania
Treason case no. 19605 / 2025
Republic versus Tundu Lissu
View attachment 3673326
Unaandikaga maujinga sana alafu hayaelewekyok.🐒
huna haja ya kuweweseke wala kubabaika na maoni yangu.Unaandikaga maujinga sana alafu hayaeleweky